Sijaongelea mambo ya kifamilia nimeongea kama mwananchi wa kawaida nileyeona ,kusikia na kushuhudia yaliyotokea na yaliyopo sasa na yanayoendeleaMkuu
Huko unakoelekea sio
Mambo ya familia waachie wenyewe wewe sio msemaji wao.
Ila magufuli alikuwa ni kufuli kweli?