Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Mimi sikuhusiki na chama chochote ila tu ni muumini wa utaifa ...sisi hatuna vyama ..ndio nawaambia hakuna sitting president aliyezuia wapinzani kufanya kampeni kwenye mkoa ,wilaya au kijiji chake .Msifanye vyombo vikamzira .
Jamaa ana nasaba ya interahamwe.
 
..basi wanatakiwa waendelee na shughuli zao ili Tundu Lissu akifika Chato akose watu wa kumsikiliza.

..kumfanyia vurugu kama kumrushia mawe, au kujaribu kumdhuru kwa namna yoyote ile, ni kuvunja sheria.
Na kwa vile uvumi huu umesikika mapema na vyombo vyote vya ulinzi na usalama basi kama yatatokea na ring leaders na wafuasi wao hawatakamatwa serikali haina pa kukwepa.
Aibu itakuwa sio kwa serikali, NEC na polisi pekee Bali hadi huyo ambaye huko ni kwao.
 
Mbona uzi umejaa wana CCM humu,Leo Magufuli si yupo mburahati huko Uzi wake haufiki hata page 90[emoji3][emoji3]kwanini hawaendi kumsapoti? au sababu kwenye mitandao Hamna malori na wasanii wa kuleta wachangiaji

Lissu ni habari nyingine,mvuto wake sio wa kitoto[emoji3]tuendelee kumsapoti
 
Namkubali sana Lissu hasa kwa 'Akili' yake Kubwa, Kujiamini na kuwa 'Legal Guru' mzuri tu ila kusema kuwa atashinda mbele ya JPM ni ndoto mno.
Mkuu unazungumzia kushinda au kutangazwa?
Hivi Yanga ikiwa na uhakika kabisa wa kumfunga Mtibwa katika dimba wana sababu yeyote kuhangaika na figisu?
CCM ndio basi tena!
 
Haya ni matukio ya kufanywa na "saccos" ili kuongeza joto la uchaguzi na kuonyesha kwamba wanaonewa ili wapate kura za huruma, maana wanajuwa wameisha shindwa, iliyobaki ni kuharibu tukose wote
Haya matukio ya kufanywa na CCM kisha kudai kuwa ni saccos ndiyo upumbavu ambao wananchi wamewaona CCM ni vilaza watupu, iweje ufanye hujuma kisha chadema akilalamikia hujuma zako unakuja na hoja za kishamba kuwa wanasaka huruma, kama chadema ni saccos iweje kutwa mnashinda mkiwabambikia kesi kesi? Iweje mnawapiga risasi? iweje mnatumia Polisiccm na NECCCM Tumeccm kama chombo binafsi cha CCM? acheni uhuru wananchi wajiamlie wenyewe
 
Na wao wamechoka mwenyekiti wao kuwa fanya washamba kama yeye!
 
Huku kwetu naonaga wakichanga nauli zao na kukodi daladala.
 

Ukerewe alishatoka huko? Ulikuwa wapi wewe au ulikuwa umefungiwa kwenye box la chakubanga?
 
Huku JF kuna haki hakuna ujinga kila mmoja yupo huru kule Whatsapp maccm hutamba kuwatukana watu sana lakini huogopa kuwajibu kwa hofu ya kubambikiwa kesi ya uhujumu uchumi
 
Hata ICC wana mwakilishi wao chato mda huu anaangalia jinsi OCD na Polisiccm watavyofanya
 
Hii Ina dhihirisha Ile dhama ya maendeleo hayana ubaguzi kuwa ni fikirishi zaidi ya uhalisia. Nakuwa tumeunganishwa zaidi Kama watanzania kuwa sii kweli Ila tumegawanywa zaidi. Kwa pamoja tuwakatae watu wanaohimiza utengano was taifa kwa sababu zozite, iwe kisiasa, kiuchumi, ama vyovyote vile.
 
Hata ICC wana mwakilishi wao chato mda huu anaangalia jinsi OCD na Polisiccm watavyofanya
Wote tuchukue ushahidi wa ninani anafanya uovu,ili kujenga taifa lenye kuheshimu ,Uhuru,haki na Sheria.
 
Na wao wamechoka mwenyekiti wao kuwa fanya washamba kama yeye!
Mradi mkubwa wa kutafuna pesa CCM kwa sasa ni mbinu za kuihujumu kuidhoofisha chadema kila anayekwenda na mbinu za kuteketeza chadema anapewa pesa na cyprian Musiba chini ya uratibu wa polepole .
 
Mtukufu magufuli ni raia toka Burundi na katibu mkuu Bashiru ni raia toka Rwanda na mzee mangula Asili yake ni Malawi kwa kifupi CCM inaongozwa na wageni wenye Asili za Nchi jirani
Nyerere alisema watu wakishindwa ubora wa sera wanakimbilia udini na ukabila, ila wewe Idi Amini naona umekuja na ubaguzi wako wakipee kabisa niuite Uinchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…