Mbona mkutano mkubwa amehutubia watu gani inasema hawamtaki unaota ndoto waliopangwa ndio walipiga mawe wakati wengine wanaondoka magufuli mwoga kama kunguru6Wala hata sidhani kama alipanga, nilichoona ni watu huko walikuwa hawamtaki tu lissu awakaribie na ndio maana hutaona picha wala video ya mkutano wa lissu huko chato.
Kila siku lissu anawatukana watu wa chato, leo naona wameamua kumuonyesha pengine hawapendi dharau
Magufuli aloenda Ikungi alikozaliwa Lisu na anafanya mkutano kwa amani kabisa bila kisasi Cha wenyeji Pamoja na kuwaambia mtoto wao ajitoe kugombea urais Amuunge mkono atampa kazi “ndogo ndogo “
Leo hii Kwenye kijiji chake anaweka interahamwe wamdhuru mwenzake
Mbona wasukuma huwa hawako hivyo ?
Hakuna Msukuma mwenye tabia za Magufuli. Hakuna.
Tena wasukuma wengi ni wataratibu na wanyenyekevu sana, sijui huyu mwamba ametoa wapi hizo tabia zakeHakuna Msukuma mwenye tabia za Magufuli. Hakuna.
Leo Magu Kasema “shukrani ya Punda ni mateke....”
Nadhani Alidhani baadhi ya Mikoa ambayo anajinasabisha nayo haingemuangusha kwa kuumuunga mkono Lisu kwa kiwango hicho
Yaani Chato tu tena kijiji kwake ndio wamekubali Huo ujinga wa vurugu
Wasukuma original ni wapole na wakarimu Sana kwa wageni ; hawa “wasukuma” wa Ukoo wake kina Kalemani ; wametoka wapi hawa ... ?
Hivi hii tabia ya kihuni Magufuli aliitoa wapi ?Ndio kaccoordinate maana huwa anahuwa chato hawampendi kwa miaja 15 hawajawahi kumchaguwa magufuli anateka wagombea kuuwa kuwafichia fomu mazoea hayana dawa mchezo ameufanya chato miaka yote hiyo analeta nchi nzima sasa ndio kiama chake
Magufuli sio msukumaMagufuli aloenda Ikungi alikozaliwa Lisu na anafanya mkutano kwa amani kabisa bila kisasi Cha wenyeji Pamoja na kuwaambia mtoto wao ajitoe kugombea urais Amuunge mkono atampa kazi “ndogo ndogo “
Leo hii Kwenye kijiji chake anaweka interahamwe wamdhuru mwenzake
Mbona wasukuma huwa hawako hivyo ?
Vibaya mno... Alafu mara zote wapinzani wakiuawa wakitekwa wakipigwa risasi anafurahia sana yaniHapa Magufuli kajidhalilisha
Unamsogelea ibilisi muuaji shetani!? Watz wanahofu pia iwapo mfalme wa Jamhuri ya chato akikubali kufanya mdahalo na Tundu Lissu km hatabeba silaha na kumshambulia Rais wetu LissuNingekuwa Lissu kesho asubuhi ningeenda kupata breakfast na Mzazi wa mpinzani wake na kumtakia kheri na pole za ugonjwa.
Mapokezi chato
Well walau umekuwa mkweli pamoja na kuzurura kote kwa Lissu ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu this contest is as good as over.
You’re entitled to hoping...ccm mnataka iaminike hivyo.
..lakini kwa sasa hivi it is a two-horse race.
..and we are hoping and praying that our candidate emerges victorious.