You’re entitled to hoping.
Lakini hii shughuli ni kama game 6 Lakers vs Miami, after the 2nd quarter the championship was wrapped kilichobaki ni ilikuwa ni kumalizia muda tu.
Magufuli keshaahinda huu uchaguzi kinachosubiriwa ni ritual tu CDM bora wajikite kwenye majimbo tu lakini nafasi ya uraisi liko wazi ndio maana Magu is very relaxed.
Huo ni mkutano au kichekesho mwaka 2015 Jimbo zima la chato lenye kata 17 hamkupata diwani hata 1,Mkoa mzima wa Geita mlipata madiwani pamoja na mafuriko ya Lowassa, sasa mwaka huu hamtapata hata Kijiji kimoja.sasa mawe yamepigwa baada ya mkutano , imesaidia nini ?
Magufuli keshaahinda huu uchaguzi kinachosubiriwa ni ritual tu CDM bora wajikite kwenye majimbo tu lakini nafasi ya uraisi liko wazi ndio maana Magu is very relaxed.
Miaka mitano Lisu ameitumia kuwatukana watu wa Chato kuwa hawafai kuwa na uwanja wa ndege ,taa za barabarani wala lami, juzi ameropoka tena kuwa mtoto wa wana Chato ,Magufuli kuwa ni mshamba!
Alafu leo huyu mzee wa tutashitakiwa MIGA anaenda kuomba kura Chato?
Taratibu ndugu yangu. Sisemi mambo ya jamuhuri ya kufikirika. Dada yangu ni mmojawapo wa hizo awamu za nyuma mkuu. Alipunguzwa kanzini akiwa na umri wa miaka 41. Alianza kupewa posho ya kila mwezi alipofikisha miaka 50, mbayo ilikuwa inakubalika kisheria kipindi hicho.
Yaani mtu inafika hatua mpaka yeye mwenyewe anawaonea huruma wapiga kura inabidi atokee tu unaona kaelemewa...Magufuli is SICK, he is not relaxed.
..jamaa ni "spana mkononi" ndiyo maana kampeni anafanya kwa kustua-stua.
You see hapo ndio tofauti we unaona mchezaji mmoja, CCM wanaona team work anytime Rajon Rondo can erupt or Caldwell-Pope and influence the game.Lissu is all sorts of LBJ! Dominating the game from the kick-go! Your man is full of injuries, one game, or rather one quarter and he's out.
Only way he's winning this is because he has the refs in his pockets.
Like ffs, we are not even allowed to count scores, according to the refs.
Alipitia Biharamulo halafu akashuka na njia ya Runazi hadi Bwanga ndio akaingia KatoroAlipofika buseresere na katoro akaghairi kwenda chato kwasababu alizomewa??? Hv mtu anaetokea muleba atapita buseresere na katoro kabla ya chato et??? Be a gentleman aseeee wadanganye ambao hawajawahi kufika huko!!!i
Yaani mtu inafika hatua mpaka yeye mwenyewe anawaonea huruma wapiga kura inabidi atokee tu unaona kaelemewa.
We chunguza siku akitokea anaruka majoka tu ya singeli hana wasiwasi zaidi ya kuwahakikishia wananchi moto ni ule ule baada ya uchaguzi. Wacha apumzike kipindi hiki katufanyia kazi kubwa watanzania.
You know what they ‘ukipata totosa bwege mnyanyase’ wimbo huo enzi zetu za ndondo cup; ndio Magu sasa hivi anamwangalia Lissu tu anavyoangaika kila uchao.
You see hapo ndio tofauti we unaona mchezaji mmoja, CCM wanaona team work anytime Rajon Rondo can erupt or Caldwell-Pope and influence the game.
Ask Miami what happened in the second quarter it was massacre offensively and defensively; just like what CCM is doing to CDM in this election.
Sasa hivi Bashiru anaangaika na mambo mengine, J.K anapiga picha tu na bongo celebrity huko instagram in short watu wako busy na mambo yao mengine. Magufuli wamemwamchia polepole tu, this is a done deal.
yamekuwa vivyo hvyoNahisi watamzuia kutembelea huo uwanja.Na kwakuwa huko ni nyumbani kwa mgombea yule,nina wasiwasi pia anaweza fanyiwa hujuma katika kampeni zake huko lengo kuhakikisha hapati watu au ashindwe kuhutubia.
Ni imani yangu Lissu haendi kufurahia uwanja,bali anaenda kufanya tathimini physically ya huo uwanja kwa kuingilia kilichojengwa (kupata picha ya kilichojengwa) na ulazima wake pamoja na umuhimu wa kujenga uwanja katika eneo hilo.
Ushauri:Tundu Lissu vaa helmet muda wote ukiwa huko Chato na kuwaambia wananchi kila mtu awe mlinzi kwa kumtupia macho alie jirani yake katika mikutano na misafari atayofanya huko Chato(kwenye msafara wa mamba, hata kenge wamo).
Nasema hivi kwasababu,teyari dalili zinaonyesha kuwa lolote linaweza kutokea leo hii, hivyo ni bora kuchukua tahadhari zote zinazowezekana kuchukuliwa.
Akiruka majoka leo, kesho anapumzika...Jiwe asiporuka majoka ataishia kutoa hotuba za kudhalilisha wanawake.
Magufuli is very relaxed? Mkuu uko wapi? Mambo yamekorogeka huko ndani na hali sio njema kwa Bashiru na Polepole. Mzee kwa sasa anasema wamekuwa sio strategic kama alivyowategemeaYou’re entitled to hoping.
Lakini hii shughuli ni kama game 6 Lakers vs Miami, after the 2nd quarter the championship was wrapped kilichobaki ilikuwa ni kumalizia muda tu.
Magufuli kesha shinda huu uchaguzi kinachosubiriwa ni kufuata ritual tu zilizowekwa na NEC.
CDM bora wajikite kwenye majimbo tu lakini nafasi ya uraisi liko wazi it’s over ndio maana Magu is very relaxed.
Mbona povu linakutoka hivyo kama CCM inajiamini kwanini inawatisha wagombea wa upinzani, mjiandae kuiba kura tu nakuhikishia kura zikipigwa halali Lisu ataibuka kidedea Mkoa wa GeitaHuo ni mkutano au kichekesho mwaka 2015 Jimbo zima la chato lenye kata 17 hamkupata diwani hata 1,Mkoa mzima wa Geita mlipata madiwani pamoja na mafuriko ya Lowassa, sasa mwaka huu hamtapata hata Kijiji kimoja.
Unachojisahau ni kwamba huo uwanja umejengwa kwa kodi za wanachadema pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana, hata hawajielewi.
Mgombea yule sio Msukuma..ni muhamiaji haramu na wako wengi kwenye systemHii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.