Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Umesema sahihi! Chato ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanayo haki kama wa Tanzania wengine kupata maendeleo.
 
Una elimu gani jamaa?
Una umri gani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwanja wa Chato unatumika/utatumika kwa emergency zitakazotokea katika uwanja wa Mwanza kwa kupokea ndege zilizotakiwa kutua uwanja wa Mwanza.
Shinyanga, Bukoba, Musoma vinaweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi zaidi kuliko kupoteza mabilioni ya fedha za walipa kodi, hiyo emergency ya kijijini kwa Jiwe inatia mashaka
 
Mbona unajitoa ufahamu bado mchana kweupe Tumia logic wanaochuana ni wat wa 2 tu halafu akose 3% kweli vingine angalieni bhna 3% ya kura 29milion ni 870k kweli atakosa kura laki 870 au unaongea tu na ww uonekane umechangia
Mkuu 713 ,ndio ujue misukule hiyo,huna haja ya kubishana nayo au kuilewesha. Kamwe haiwezi kuelewa sababu bongo zao zimeshanyofolewa.
Yaani mtu kabisa anaandika kuwa Lissu hawezi pata 3% ya kura zote!?
Huyo ni mzima kweli!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo akili zenu Ni mgandoy halafu ziko likizo.Hamjitambui hata kidogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana, hata hawajielewi.
 
Bado uko kwenye mipasho huna mantiki na huwezi kutetea mavi kuwa yananukia.

Hata mwizi na jambazi dhamira ni kupata pesa, kwa hiyo mbinu zao zinafaa maadam hitaji lao limekamilika?

Tunataka tume huru siyo hii ya CCM
Polisi wanaolinda raia siyo wanaolinda maslahi ya CCM.

Naomba uje na hoja ambayo inaweza kumfanya mwenye akili a fikirishi kidogo siyo hiyo mipasho yenu ya Lumumba
 
Sasa si mngeanza na ombi la tume huru kabla hamjajiingiza kwenye huu uchaguzi wa mwaka huu?? mmeshafeli tu, mwambieni Robert Amstadarm hakuna vidume kuolewa hapa!!
Kwanza naona katika vitu unavyopenda ni kuolewa na Robert Amsterdam, maana una wivu kama mke mwenza kwa Robert.

Pili jukwaa lipi la kudai tume huru? Au mlitegemea wapinzani watasusa kama Zanzibar ya Jecha na uchaguzi wa serikali za mitaa 2019?

Tutawapigia humo humo, tutapiga kura na kuzilinda na tutashinda. Tumekomazwa na policcm hatuogopi mabomu wala risasi kudadadadeki
 
S wanaume wa serikali ya Magufuli pia usisahau, Jana tu kawaita mabeberu waje kuwekeza kwenye madini, kilimo nk.

Mna wivu halafu mna nyodo, IMF, world Bank na mashirika ya misaada ya kimataifa mkienda kuomba misaada mnabana makalio mkitabasamu, mkirudi kwa wajinga kama wewe mabeberu.

Sakata la Makonda na mashoga serikali yako ya kinafiki ilitoa taarifa kutambua haki za hao mashoga
 
Nachukia sana hayo mambo, hasa unapomuona kijana amelegea kiuno najiuliza hivi akiwa kijana wako unajisikiaje?
Hata wake wanaobaka vijana wadogo huwa anatamani wauwawe tu kama ningekuwa mtawala.
Kwa mara ya kwanza imebidi nikubaliane na wewe
 
Kwani Mikumi hakuna barabara ya lami na pale wanapojenga bwawa la Stieglar Gorge mbona ni mbugani na sheria za kimataifa za kulinda mazingira zinakataza ujenzi kama huo.

What a contradiction and what a hypocrisy??
 
Kuanzia leo CHATO nawaweka kwenye kundi la wananchi wanaojitambua yaani mmemuonyesha mbeligiji kwa CHATO siyo aridhi iliyolaaniwa ni mwiko kwa mashoga kukanyaga.

Kwanza mmeuthibitishia umma kwamba hizo picha zinazonyesha Lissu apokelewa umati wa wananchi CHATO ni fake, kwani vijana wengi wanaolalamika kupopolewa na mawe wanadaiwa kutoka Katoro hadi Mgombea Ubunge Jimbo la Geita mjini aka chakula ya faru John alikuwepo.

Pili Kama kweli alipokelewa na umati kama huo hakuna mtu ambaye angekuwa tayari kuanzisha vagi la kurusha mawe .

Mwisho
Lissu mwenyewe amekili kwamba wamezomewa chato na alichokiita kundi la UVCCM, asante sana wakazi wa CHATO kwa kumuadabisha mbwa huyu.
 
Sasa Magufuli ni mtu kabila gani kama sio msukuma ?
Ila ndani ya Ccm inaonekana hata raia wa Angola anaweza akapewa uongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni msumbwa sasa wasumbwa walipoteza lugha baada ya kumezwa na wasukuma enzi hizo wasumbwa wakiwa watumwa wa wasukuma wakiwachungia ng'ombe.

Mwanzoni mwa millennium iliyopita wasukuma wakija huku na mifugo yao wakitokea kaskazini mwa Congo DR waliwakuta wenyeji wasumbwa wakiwa masikini wakilima kijadi na hivyo kuwafanya vijakazi vyao.
 
Acha bangi kijana.
 
Kumbe wasukuma asili yao ni Congo, basi sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…