Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Tutapigani na ccm tukiwa ndani ya bunge, kupigana nje ya bunge ni kupiga kelele, pia ni uanaharakati, uchwara, (palarira)Huko hamna wanaharakati uchwara?
nani akuingize bungeni ........................Tutapigani na ccm tukiwa ndani ya bunge, kupigana nje ya bunge ni kupiga kelele, pia ni uanaharakati, uchwara, (palarira)
Chama cha wasaka ubwabwa wa Hashim RungweππππHaya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!
ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C
Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!
Sana yaanIla Tz kuna ungese mwingi sana aisee
KILA TUSI LITATUKANWA, BUT, MATUSI KWETU NI KAMA MAFUTA YAKUNUKIA WARIDIChama cha wasaka ubwabwa wa Hashim Rungweππππ
Ondoa chuki mkuu, vinyongo vitakuua mkuu, Void be transplanted, VINYONGO NA CHUKI ZA KINA LEMAHamna tofauti na wale wa MRINA.....
Chopa za mbowe?Tutapigani na ccm tukiwa ndani ya bunge, kupigana nje ya bunge ni kupiga kelele, pia ni uanaharakati, uchwara, (palarira)
Yaani Chaumma hii hii ya sera za ubwabwa wa Rungweπ€£π€£π€£πHaya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!
ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C
Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!
πππOndoa chuki mkuu, vinyongo vitakuua mkuu, Void be transplanted, VINYONGO NA CHUKI ZA KINA LEMA
Wanaharakati uchwara ππππChadema inathamini wapiga kelele na inawapuza watu wa kimkakati, shida ipo hapo! View attachment 3341150
Kuchimba zahabu...haya muwakilishi wa chaummaChadema inathamini wapiga kelele na inawapuza watu wa kimkakati, shida ipo hapo! View attachment 3341150