PreGE2025 CHAUMMA, chama cha watanzania wote, wapenda haki na maendeleo kuanza shughuli 30/5

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii Nchi Kwa haya yanayoendelea, Kwa mtu anayejielewa hawezi kupoteza muda wake kwenda kupiga kura

Itakuwa ni kupoteza muda wako maana sio Kwa spinning zinazoendelea 🙌
Binafsi kura sipigi,naamini ipo siku mimi au vizazi vyangu vitaona umuhimu wa kupiga kura/kujihusisha na mambo ya kisiasa na uongozi.
 
Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!

ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C

Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!

Ni fedha ya ubwabwa tu ndiyo irushe chopa kweli!
 
Wewe miaka yote uko CCM ,ni Malaya wa kisiasa ni CHAWA wa Mama .Umehamia CHAUMA lini?
 
We work, automatical,we do any intelegence so that ccm to win softly!, TUNAGAWANYA ALAFU TUNAPASUA. 😊😊😊
 
Binafsi kura sipigi,naamini ipo siku mimi au vizazi vyangu vitaona umuhimu wa kupiga kura/kujihusisha na mambo ya kisiasa na uongozi.
Hakika Mkuu

Huwezi kupoteza muda wako kupanga foleni kwaajili ya kuwaweka madarakani Viongozi ambao hawana mbinu za kutufanya tusongee mbele Kwa maendeleo zaidi ya kujineemesha wao wenyewe na familia zao
 
Kuna wabunge wengi wa majimbo hawana amani na hii project ya CHAUMMA kuachiwa majimbo kadhaa, sababu wanasema hawajui ni majimbo gani maana watu wanajipanga kugombea halafu kesho kutwa unakuta Mwenyekiti kaamua jimbo lako ashinde CHAUMMA!!

Ngoja niende Waswanu nikamsubiria "Microphone" apite nimtwange maswali.
 
Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!

ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C

Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!

Sio mtulingishie chopa, tulishazizoea.

Mje na Ubwabwa kama sera yenu ilivyoahidi wakati wa uchaguzi 2020.

Kama mna hela ya kokodi ndege, basi lazima hela ya ubwabwa hamtakosa
 
AL manta hofu,
Ubwabwa, tunamaanisha lishe, Tena lishe bora sana ambayo kila Mtanzania anastahili....
Watu Wakiwa na lishe bora, nusa ya wagonjwa mahospitalini watapungua! 😊
 
Hiyo lishe ni kwa wananchi au kwenu na familia zenu?
 
Back
Top Bottom