PreGE2025 CHAUMMA, chama cha watanzania wote, wapenda haki na maendeleo kuanza shughuli 30/5

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!

ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C

Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!

Naona mipasho kama ya Bi Khadija Kopa
 
No Reforms No electioms ndo habari ya mjini.
 
Haahaa hayo mamilioni wameyatoa wapi? SALUM mwalimu kalambishwa mamilioni Ili kuivuriga chadema...
 
Hii Nchi Kwa haya yanayoendelea, Kwa mtu anayejielewa hawezi kupoteza muda wake kwenda kupiga kura

Itakuwa ni kupoteza muda wako maana sio Kwa spinning zinazoendelea 🙌
 
Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!

ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C

Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!

Picha ya kihindi steering G55
 
Hii CHAUMMA inauma na ni chama cha machawa aka CCMB piga ua. Tushawastukia. Chama chenyewe cha mfukoni na viongozi ni wana familia au marafiki. Soon, watakorogana na hao wahamiaji toka CHADEMA.
 
"Malaya malaya tu"- sijui ni lini condom itaisha matumizi yake... kwa sasa taabu tupu.
 
Back
Top Bottom