Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Veggies lazma watakuwa wameweka mzigo wao huko "Ubwabwa Party" ili walete interference na movement ya "NRNE"Kuna mzigo haswa umewekwa uko
Veggies lazma watakuwa wameweka mzigo wao huko "Ubwabwa Party" ili walete interference na movement ya "NRNE"Kuna mzigo haswa umewekwa uko
"You can fool some people sometimes, but you will never fool all the people all the time" -Bob Nester MarleyCHAUMMA ni tegemeo letu fanyeni siasa safi
Ndani ya Chauma hakuna umangi meza, Watu wote Wana haki sawa, pia kwa demokrasia iliyopo ndani ya Chama kauli ya mwenyekiti sio kauli ya mwisho, bali maamuzi yake yanaweza kujadiliwa na wajumbe, sasa mtajipima kati ya chadema na chauma kipi ni chama safi cha kidemokrasia.CHAUMMA ni tegemeo letu fanyeni siasa safi
Sawa Kuna mwenyekiti mmoja KAZI ni kuropokaropa tu na lugha chafu kwa viongozi hana nidhamu kabisa.CHAUMMA iwe mfano wa kuigwaNdani ya Chauma hakuna umangi meza, Watu wote Wana haki sawa, pia kwa demokrasia iliyopo ndani ya Chama kauli ya mwenyekiti sio kauli ya mwisho, bali maamuzi yake yanaweza kujadiliwa na wajumbe, sasa mtajipima kati ya chadema na chauma kipi ni chama safi cha kidemokrasia.
CHAUMMA 2 CHADEMA 2.Chadema imekosa viongozi wenye maono"You can fool some people sometimes, but you will never fool all the people all the time" -Bob Nester Marley
Kwa wadau.Chopa inawauma sana.Mkome kufanya siasa za maji takaJiulize hela za chopa zinetoka wapi?
Chama bora kabisa siyo kama kile chama cha wahuniHaya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!
ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C
Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!