Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
Naona mipasho kama ya Bi Khadija KopaHaya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!
ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C
Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!
No Reforms No electioms ndo habari ya mjini.Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!
ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C
Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!
Polepole utapasua simuUSENGE
Wanaharakati uchwara wamepaniki sanaPolepole utapasua simu
Punguza makasiriko mkuu, kunja ngumi sema YESSS!Hivi hawa matahira wanatokeaga wap😄😂😂😂😂😂😂
Vyama vingine vikifanya siasa chadema mnaona usenge, mkifanya nyie siyo usenge.Ila Tz kuna ungese mwingi sana aisee
Wanatokeaga huko chadema. Leo wamekuwa mataahira baada ya kuwaongoza kwa miaka 30+Hivi hawa matahira wanatokeaga wap😄😂😂😂😂😂😂
Punguza makasiriko mkuu, kunja ngumi sema YESS
Wamemuongoza Nani?Wanatokeaga huko chadema. Leo wamekuwa mataahira baada ya kuwaongoza kwa miaka 30+
Haahaa hayo mamilioni wameyatoa wapi? SALUM mwalimu kalambishwa mamilioni Ili kuivuriga chadema...Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!
ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C
Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!
Wewe ni mwanachama wa CCM na CHAUMMA!!??Tutapigani na ccm tukiwa ndani ya bunge, kupigana nje ya bunge ni kupiga kelele, pia ni uanaharakati, uchwara, (palarira)
Picha ya kihindi steering G55Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!
ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C
Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!
Hii CHAUMMA inauma na ni chama cha machawa aka CCMB piga ua. Tushawastukia. Chama chenyewe cha mfukoni na viongozi ni wana familia au marafiki. Soon, watakorogana na hao wahamiaji toka CHADEMA.Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!
ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C
Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!