Binafsi kura sipigi,naamini ipo siku mimi au vizazi vyangu vitaona umuhimu wa kupiga kura/kujihusisha na mambo ya kisiasa na uongozi.Hii Nchi Kwa haya yanayoendelea, Kwa mtu anayejielewa hawezi kupoteza muda wake kwenda kupiga kura
Itakuwa ni kupoteza muda wako maana sio Kwa spinning zinazoendelea ๐
Kuna mzigo haswa umewekwa ukoJuzi tu waliahirisha kikao cha kamati kuu kwa ukosefu wa pesa za kuandalia kikao, leo mbona imekua ghafla sana....๐ค
Ni fedha ya ubwabwa tu ndiyo irushe chopa kweli!Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!
ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C
Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!
Na ni kuanzia mwasisi wao hadi watoto wao wanaonyonyaCHAUMA genge la matapeli tupu
Wewe miaka yote uko CCM ,ni Malaya wa kisiasa ni CHAWA wa Mama .Umehamia CHAUMA lini?Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!
ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C
Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!
Matapeli yamekusanyika hapo kupiga pesaNa ni kuanzia mwasisi wao hadi watoto wao wanaonyonya
We work, automatical,we do any intelegence so that ccm to win softly!, TUNAGAWANYA ALAFU TUNAPASUA. ๐๐๐Wewe miaka yote uko CCM ,ni Malaya wa kisiasa ni CHAWA wa Mama .Umehamia CHAUMA lini?
Wanasemaga.... Raha ya msiba, maiti ionekane...๐คฃKuna mzigo haswa umewekwa uko
Hakika MkuuBinafsi kura sipigi,naamini ipo siku mimi au vizazi vyangu vitaona umuhimu wa kupiga kura/kujihusisha na mambo ya kisiasa na uongozi.
Hatari snWanasemaga.... Raha ya msiba, maiti ionekane...๐คฃ
Hata chadema kaka,ndio mร ana mipasuko haiishi.Chauma na act wote ni ccm ileile
Mawazo mfu haya!, hivi vyama vinaweza kuiangusha CCMChauma na act wote ni ccm ileile
Sio mtulingishie chopa, tulishazizoea.Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa kitaalamu, kisomi, dira ya Chama ya maendeleo ya kila Mtanzania mpaka 2050,
#Kwa Umoja wetu tutashinda
#wenye chuki zenu karibuni
# chaumma inamuhusu, na kukuhusu wewe pia!
ALUTA CONTINUA ON OTHER SIZE OF THE GAME CHANGER!
======================
JOIN C4C
Matusi yenu kwetu ni marashi mazuri!
AL manta hofu,Sio mtulingishie chopa, tulishazizoea.
Mje na Ubwabwa kama sera yenu ilivyoahidi wakati wa uchaguzi 2020.
Kama mna hela ya kokodi ndege, basi lazima hela ya ubwabwa hamtakosa
Hiyo lishe ni kwa wananchi au kwenu na familia zenu?AL manta hofu,
Ubwabwa, tunamaanisha lishe, Tena lishe bora sana ambayo kila Mtanzania anastahili....
Watu Wakiwa na lishe bora, nusa ya wagonjwa mahospitalini watapungua! ๐