PreGE2025 CHAUMMA, chama cha watanzania wote, wapenda haki na maendeleo kuanza shughuli 30/5

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chauma kinyago cha ccm.
Kumbe Chadema ilitekwa na ccm kiasi hiki?

Asante Lissu , Heche, Lema, mmekinasua chama
 
Hakuna kitu hapo
 
kwani kilikuwa kimekufa
 
Upinzani wa CHAUMA ni kama uko programed na serikali, hakuna kitu hapo bure tu.
 
Hata chadema kaka,ndio màana mipasuko haiishi.
Hata umaarufu na airtime naamini ni watawala wanawapa(ni project zao),wachache ndio unakuta wapo real na husumbuliwa mno
Kipindi cha mbowe chadema ilikuwa ni tawi la ccm ila kwa sasa inaonekana kama hawa wliokishika sasa wanataka kuchukua dola kweli. Ndio maana wanapigwa spana za nguvu.
 
Kipindi cha mbowe chadema ilikuwa ni tawi la ccm ila kwa sasa inaonekana kama hawa wliokishika sasa wanataka kuchukua dola kweli. Ndio maana wanapigwa spana za nguvu.
Hii video ya Lissu imenishangaza,ameongea lwa kujifunga sana.
Muda aliopoteza angeendelea kupush ajenda yao.
Hawa wapinzani hamna kitu hata ujio wa slaa nao ni mgumu kueleweka
 
Wanachama 3000 waliotoka CHADEMA oyeee
 
CHAUMMA CHONDECHONDE MSIJIHUSISHE NA AJENDA ZA USHOGA NA WANAHARAKATI UCHWARA KAMA CHAMA KILEEEE
 
CHAUMMA ni tegemeo letu fanyeni siasa safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…