PreGE2025 CHAUMMA, chama cha watanzania wote, wapenda haki na maendeleo kuanza shughuli 30/5

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHAUMMA ni tegemeo letu fanyeni siasa safi
Ndani ya Chauma hakuna umangi meza, Watu wote Wana haki sawa, pia kwa demokrasia iliyopo ndani ya Chama kauli ya mwenyekiti sio kauli ya mwisho, bali maamuzi yake yanaweza kujadiliwa na wajumbe, sasa mtajipima kati ya chadema na chauma kipi ni chama safi cha kidemokrasia.
 
Sawa Kuna mwenyekiti mmoja KAZI ni kuropokaropa tu na lugha chafu kwa viongozi hana nidhamu kabisa.CHAUMMA iwe mfano wa kuigwa
 
Ninachojua mimi hao waliokimbilia chaumma ni wanasiasa waliokata tamaa na kuamua kufanya biashara ya siasa kwa mfano kigaila 2010 aligombea jimbo la kibakwe akipambana na simba chawene akatoka kapa baadae akakimbilia kugombea dodoma mjini nako akatoka kapa leo hii leo hii umri umemtupa mkono atakuwa na jipya gani
 
Chama bora kabisa siyo kama kile chama cha wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…