Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋
Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi iendelee
Waliwahi kukupotezea muda kvp ???Hao watu ni wachumia matumbo yao tuu na kupotezea watu muda
Tanzania upinzani hakuna wala usijichoshe my bro.
Mwanzoni, nilidhani CHAWA ni miradi inayotekelezwa, kuzuia mfumuko wa bei, kuleta maendela kwa wananchi, ETC..!! Maana hayo humtangaza aliyeyafanya..!! Ukiona tu unahitaji chawa ili watu waone ulichokifanya, BASI HAPO HAMNA KITU.Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋
Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi iendelee
Hivi hawa chawa wa mama wanakaa sehemu gani ya mwili wake? Tunajua chawa hupenda kukaa kwenye sehemu zenye nywele tu.Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋
Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi iendelee
Sehemu zenye nywele na ziwe chafuHivi hawa chawa wa mama wanakaa sehemu gani ya mwili wake? Tunajua chawa hupenda kukaa kwenye sehemu zenye nywele tu.
Kwa hiyo mama ni mchafu?Sehemu zenye nywele na ziwe chafu
Ahahaha..!! Mimi sijasema, ila nimeeleza mahala anapopenda chawa..!! Ni kama vile mende anavyokupenda chooni..!!Kwa hiyo mama ni mchafu?
NimekupataAhahaha..!! Mimi sijasema, ila nimeeleza mahala anapopenda chawa..!! Ni kama vile mende anavyokupenda chooni..!!
Mbona sijamuelewa huyo aliyeandika noma sana imekaaje!Hatupoi[emoji16][emoji16][emoji16]
Naamini ulinyimwa viti maalumu ndo maana unatuchukia my sster..pole aiseee [emoji23]Hata kukaa na kusikiliza mipango yao isiyokuwa na utelekezaji ni kupoteza muda
Wajipange sanaaa
NonsenseChama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋
Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi iendelee