Chawa wa mama yazinduliwa Rasmi

Chawa wa mama yazinduliwa Rasmi

Waliokuwa wanamtukana Magufuli kwamba anapenda sifa wanaumbuka sana!
 
Very negative meaning attachment, placement and the fronts are very misplaced, hii nchi Ina ubazazi mwingi, imagine how dubious is CCM.
Shameful, why not kikozi kazi cha kufafanua mikakati na mafanikio ya hatua mbalimbali za kimaendeleo katika awamu ya 6.

Usitishike na lugha iliyotumika
Hiyo ndio lugha kizazi hiki kinaielewa, wengi wa waanaopiga kura wanaelewa😋 na ujue hakuna uchawa usio faida😁😁😁

Wale kutaka mikakati na mafanikio ya hatua mbalimbali za kimaendeleo katika awamu ya 6. ndio hawataki uchawa wala kura hawapigagi💣
 
Wangekuwa wanaelewa msingekuwa mnafanya uchafuzi kama ule wa 2020.
Usitishike na lugha iliyotumika
Hiyo ndio lugha kizazi hiki kinaielewa, wengi wa waanaopiga kura wanaelewa[emoji39] na ujue hakuna uchawa usio faida[emoji16][emoji16][emoji16]

Wale kutaka mikakati na mafanikio ya hatua mbalimbali za kimaendeleo katika awamu ya 6. ndio hawataki uchawa wala kura hawapigagi[emoji378]
 
Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge[emoji39][emoji39][emoji39]

Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan

Kazi iendelee
Njoo chadema wewe unaonekana una akili huko upande wa pili unajidhalilisha tu.
 
Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋

Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan

Kazi iendelee

.
 
Attachments

  • JamiiForums3817054.jpeg
    JamiiForums3817054.jpeg
    42.9 KB · Views: 3
Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge[emoji39][emoji39][emoji39]

Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan

Kazi iendelee
When ignorance screams intelligence shuts up...

Wajinga hawawezi kuisha nchi hii....
 
Njoo chadema wewe unaonekana una akili huko upande wa pili unajidhalilisha tu.

Nchi yetu ina uhuru wa kidemokrasia hata huko pia naweza kuja boss

Sema chadema dishi linayumba sana, acha tuendelee kubaki tulivyo maana kule nako upinzani usioelewekaa

Tanzania ccm bado ipo sana vinginevyo chadema iache siasa za kitapeli
 
Usitishike na lugha iliyotumika
Hiyo ndio lugha kizazi hiki kinaielewa, wengi wa waanaopiga kura wanaelewa😋 na ujue hakuna uchawa usio faida😁😁😁

Wale kutaka mikakati na mafanikio ya hatua mbalimbali za kimaendeleo katika awamu ya 6. ndio hawataki uchawa wala kura hawapigagi💣
Hahahaaa wazoefu wa voters wa tz
 
Sasa itakuwaje wakati mwenyekiti wa wapinzani wetu wakuu ana imani na Mama Samia? Itabidi Mh. Polepole na Lemutuz wakatoe semina huko ufipani ili angalau wapate agenda. Haifurahishi kuwa na wapinzani dhaifu. Kwa sasa Ufipa wanaandaa tamko kuhusu sakata la Manara.
 
Kuna habar..hata kuziskizaa au kuzisoma n kupotezaa mudaa
 
Sasa itakuwaje wakati mwenyekiti wa wapinzani wetu wakuu ana imani na Mama Samia? Itabidi Mh. Polepole na Lemutuz wakatoe semina huko ufipani ili angalau wapate agenda. Haifurahishi kuwa na wapinzani dhaifu. Kwa sasa Ufipa wanaandaa tamko kuhusu sakata la Manara.

Sasa itakuwaje wakati mwenyekiti wa wapinzani wetu wakuu ana imani na Mama Samia?
😍😍😍😍😍😍😍😍

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan 💥🙏
 
Na yeye mwenyewe anaona FAHARI kumiliki chawa
 
Back
Top Bottom