juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,924
- 5,406
WachezajiNaendelea kuwasisitiza tafuteni midfielder wa kueleweka. Huyu caicedo hakuna mchezaji humo .
Sio siri Caseido anakuuma mpaka leo. Yaani hata ukikosa hela ya kula utasema tatizo ni CaseidoNaendelea kuwasisitiza tafuteni midfielder wa kueleweka. Huyu caicedo hakuna mchezaji humo .
[emoji23][emoji23][emoji23]ilikua point 2 tuu muikute LiverpoolKuna kila namna Manchester United atajipata alafu sisi na wao tutaanza kugombea nafasi ya kucheza europa , mechi 4 points 2 (12) team zenyewe ni daraja la kati sio top 6
SawaUna matatizo kichwani
Shenzi kabisaSawa
Dah 😅Sio top 10 ndiye best defensive midfilder in epl right now
🤣🤣🤣🤣Kumbe ndio maana Lavia aliikataa Liverkuku akakimbilia Chelsea
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naitwa Wesley Fofana nimesajiliwa THE BLUES kuja kula mshahara wa bure. Mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam
Ijieni Nunez kwa £120 wakuuAliyesema jackson takataka namuunga mkono