Mimi nilisha project kwa behaviour ya sasa hivi Chelsea itafikisha points 53 na haitazidi 56 na bado watu wanasema Maresca kafanya vizuri kwa sababu aliifikisha timu kwenye nafasi ya piliChelsea fc - 23/24
Nafasi - 6
Points - 63
Chelsea fc - 24/25
Nafasi - 6
Points - 43 (Bado mechi 12)
Kwema mechi tano za mwisho maximum points zitakuwa 3
Maresca ana makosa yake sikatai ila SD ndio tatzo kubwa huwez sajil 1.5BN na bado team yako inamapungufu tele.Nilimtetea Pochetino nikasimangwa sana juan david akiongoza mashambulizi. Mkamleta kocha wenu wa ball Maresca mkamsifia kwa mapambio yote. Haya sasa amekuwa kocha wa ovyo. Tulieni azamishe chombo zaidi, mechi zilizobaki mbele kiza kingi kwake. Kuwa na upara sio kushinda mechi.
Kabisa upuuzi mkubwa sana, walitakiwa wafanye sajili chache za kuboresha kikosi sio sajili nyingi za kujaza kikosi matokeo yake ndio mchezaji anacheza miezi 6 tuu hakuna kitu halafu anatolewa mkopo na kuuzwa.Maresca ana makosa yake sikatai ila SD ndio tatzo kubwa huwez sajil 1.5BN na bado team yako inamapungufu tele.
Wakat wa poch mapungufu yalionekana je wenyewe katika kuyatatua hayo mapungufu walifanya nini??? Shida ni zile zile toka wakat wa Poch. Unaenda kumsajil felix ambae hakuna kitu anachoongeza ndani ya miez 5 unamtoa kwa mkopp siupuuzi huo
We si ndio mtetezi mkuu umebadilikaMimi nilisha project kwa behaviour ya sasa hivi Chelsea itafikisha points 53 na haitazidi 56 na bado watu wanasema Maresca kafanya vizuri kwa sababu aliifikisha timu kwenye nafasi ya pili
Msimu huu namaba yetu ni 8-10. Hifadhi hii post
Chelsea iko ICU, na bado mabosi wanaonekana kuridhika na kocha huyo.
Katika mechi 10 zilizopita, tumeona
Tumefungwa mechi 5
Tumetoka sare mechi 3
ushindi kidunchu wa mechi 2 pekee
View attachment 3246522
View attachment 3246539
Walisajili kulingana na fursa badala ya uhitaji.Maresca ana makosa yake sikatai ila SD ndio tatzo kubwa huwez sajil 1.5BN na bado team yako inamapungufu tele.
Wakat wa poch mapungufu yalionekana je wenyewe katika kuyatatua hayo mapungufu walifanya nini??? Shida ni zile zile toka wakat wa Poch. Unaenda kumsajil felix ambae hakuna kitu anachoongeza ndani ya miez 5 unamtoa kwa mkopp siupuuzi huo
Hii comment yako inadhihirisha kwamba sporting directors hawajui mpira, hawajui mahitaji ya timu, hawajui nini wanafanya ofisini. Ndio maana tumetumia pesa nyingi sana kufanya sajili za ovyo. Mbaya zaidi matajiri wetu hawajui chochote kuhusu mpira.Walisajili kulingana na fursa badala ya uhitaji.
Mfano:
Tulimhitaji striker tukapewa Guiu - mtoto wa mama
Tulimhitaji CB kiongozi tukasajiliwa Tosin -ada ya bure
Tulimhitaji kiungo mkabaji wakamuuza Conor Gallagher ili wamsajili Joao Felix mdondokaji
Tulimhitaji winga wa kushindana na Mudryk tukapewa Sanchomnatishaji
Tulmhitaji kipa no. 1 tukaletewa Filip Jorgensen
Yaani kinachotakiwa na kilicholetwa ni vitu viwili tofauti
Zile kelele za 1bn team zitarudi tena kwa nguvu sana kama Chelsea ikishika nafasi ya 7-10Chelsea fc - 23/24
- Total Transfer fees - €461.1M
- Position - 6
- Points - 63
Chelsea fc - 24/25
- Total Transfer fees - €275.5M
- Position - 7
- Points - 43 (Bado mechi 12)
Masporting director wanatola team ndogo bado wanamentality za team ndogo + wamiliki wajuaji hatari tupuHii comment yako inadhihirisha kwamba sporting directors hawajui mpira, hawajui mahitaji ya timu, hawajui nini wanafanya ofisini. Ndio maana tumetumia pesa nyingi sana kufanya sajili za ovyo. Mbaya zaidi matajiri wetu hawajui chochote kuhusu mpira.
Taja timu ilishawahi kubeba EPL ikiwa na wachezaji wengi watoto?Visingizio viingiii ila Kocha ndio jinga no.1 hao hao watoto anaweza akawatumia akapata matokeo, hao watoto walonunuliwa wana kitu ndio mana wakaonwa.
Baca wale pale vitoto vingii lakini wanaongoza ligi. Mtasema ligi ya spain laini lakin timu zao kila kukicha zinazinyanyasa timu za EPL. Huo ugumu sijui unatoka wapi.
Manchester nyumbu united.Taja timu ilishawahi kubeba EPL ikiwa na wachezaji wengi watoto?
Long time ago in Bethlehem. Hizo zilikuwa zana za mawe.Manchester nyumbu united.
Strasbourg wana watoto lakini sasa hiovi wanacheza ile mbaya huku wachezaji wake wengi ni wale waliokosa namba ChelseaVisingizio viingiii ila Kocha ndio jinga no.1 hao hao watoto anaweza akawatumia akapata matokeo, hao watoto walonunuliwa wana kitu ndio mana wakaonwa.
Baca wale pale vitoto vingii lakini wanaongoza ligi. Mtasema ligi ya spain laini lakin timu zao kila kukicha zinazinyanyasa timu za EPL. Huo ugumu sijui unatoka wapi.
Mkuu Wastani wa Umri mdogo is not applicable EPL, bali EPL inajitaji world class experienced players kubeba Kombe.Strasbourg wana watoto lakini sasa hiovi wanacheza ile mbaya huku wachezaji wake wengi ni wale waliokosa namba Chelsea
Ebu angalia hizi timu na wastani wa umri wao
PSG and Strasbourg wana umri mdogo lakini wana fanya vizuri
Strasbourg - wastani wa umri 21.3
PSG - 23.3
Chelsea - 23.4
Monaco - 23.6
Parma - 23.6
Barcelona - 23.7
Stade Reims - 23.9
Valencia - 24.1
Juventus - 24.3
Stuttgart - 24.3
Eintracht Frankfurt - 24.3
View attachment 3249066
Southamptom lazima wafungwe ndio shida yao kubwa, hata kama wakishinda ila kufungwa ni jadi yao tangu ligi ianze. Hawawezi kabisa kujilindaLeo Soton anafufukia kwa Chelsea,,, ! Full time chel 0: Soton 1, bichwa kubwa Cucurela Own goal