lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
Mimi nilisha project kwa behaviour ya sasa hivi Chelsea itafikisha points 53 na haitazidi 56 na bado watu wanasema Maresca kafanya vizuri kwa sababu aliifikisha timu kwenye nafasi ya piliChelsea fc - 23/24
Nafasi - 6
Points - 63
Chelsea fc - 24/25
Nafasi - 6
Points - 43 (Bado mechi 12)
Msimu huu namaba yetu ni 8-10. Hifadhi hii post
Chelsea iko ICU, na bado mabosi wanaonekana kuridhika na kocha huyo.
Katika mechi 10 zilizopita, tumeona
Tumefungwa mechi 5
Tumetoka sare mechi 3
ushindi kidunchu wa mechi 2 pekee