Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea fc - 23/24
Nafasi - 6
Points - 63

Chelsea fc - 24/25
Nafasi - 6
Points - 43 (Bado mechi 12)
Mimi nilisha project kwa behaviour ya sasa hivi Chelsea itafikisha points 53 na haitazidi 56 na bado watu wanasema Maresca kafanya vizuri kwa sababu aliifikisha timu kwenye nafasi ya pili
Msimu huu namaba yetu ni 8-10. Hifadhi hii post

Chelsea iko ICU, na bado mabosi wanaonekana kuridhika na kocha huyo.
Katika mechi 10 zilizopita, tumeona
Tumefungwa mechi 5
Tumetoka sare mechi 3
ushindi kidunchu wa mechi 2 pekee

1740314564784.png

1740314989565.png
 
Nilimtetea Pochetino nikasimangwa sana juan david akiongoza mashambulizi. Mkamleta kocha wenu wa ball Maresca mkamsifia kwa mapambio yote. Haya sasa amekuwa kocha wa ovyo. Tulieni azamishe chombo zaidi, mechi zilizobaki mbele kiza kingi kwake. Kuwa na upara sio kushinda mechi.
Maresca ana makosa yake sikatai ila SD ndio tatzo kubwa huwez sajil 1.5BN na bado team yako inamapungufu tele.

Wakat wa poch mapungufu yalionekana je wenyewe katika kuyatatua hayo mapungufu walifanya nini??? Shida ni zile zile toka wakat wa Poch. Unaenda kumsajil felix ambae hakuna kitu anachoongeza ndani ya miez 5 unamtoa kwa mkopp siupuuzi huo
 
Kabisa upuuzi mkubwa sana, walitakiwa wafanye sajili chache za kuboresha kikosi sio sajili nyingi za kujaza kikosi matokeo yake ndio mchezaji anacheza miezi 6 tuu hakuna kitu halafu anatolewa mkopo na kuuzwa.

Utawala wa Roman ulikuwa unapambana sokoni kusajili word class players wa kupambania makombe hawa wa sasa wanakimbizana kusajili watoto wanaotoka shule kabla hawajafika nyumbani kwa wazazi.
 
Mimi nilisha project kwa behaviour ya sasa hivi Chelsea itafikisha points 53 na haitazidi 56 na bado watu wanasema Maresca kafanya vizuri kwa sababu aliifikisha timu kwenye nafasi ya pili
Msimu huu namaba yetu ni 8-10. Hifadhi hii post

Chelsea iko ICU, na bado mabosi wanaonekana kuridhika na kocha huyo.
Katika mechi 10 zilizopita, tumeona
Tumefungwa mechi 5
Tumetoka sare mechi 3
ushindi kidunchu wa mechi 2 pekee

View attachment 3246522
View attachment 3246539
We si ndio mtetezi mkuu umebadilika
 
Chelsea fc - 23/24
  • Total Transfer fees - €461.1M
  • Position - 6
  • Points - 63

Chelsea fc - 24/25
  • Total Transfer fees - €275.5M
  • Position - 7
  • Points - 43 (Bado mechi 12)
 
1. Livepool fc Transfer fees
  • 23/24 = €172M
  • 24/25 = €42M
TOTAL = €214M

2. Arsenal fc Transfer fees
  • 23/24 = €235.1M
  • 24/25 = €108M
TOTAL = €343M

3. Manchester City Transfer fees
  • 23/24 = €259.6M
  • 24/25 = €243M
TOTAL = €502.6M

4. Chelsea fc Transfer fees
  • 23/24 = €461.1M
  • 24/25 = €275.1M
TOTAL = €736.6M
 
Maresca ana makosa yake sikatai ila SD ndio tatzo kubwa huwez sajil 1.5BN na bado team yako inamapungufu tele.

Wakat wa poch mapungufu yalionekana je wenyewe katika kuyatatua hayo mapungufu walifanya nini??? Shida ni zile zile toka wakat wa Poch. Unaenda kumsajil felix ambae hakuna kitu anachoongeza ndani ya miez 5 unamtoa kwa mkopp siupuuzi huo
Walisajili kulingana na fursa badala ya uhitaji.
Mfano:
Tulimhitaji striker tukapewa Guiu - mtoto wa mama
Tulimhitaji CB kiongozi tukasajiliwa Tosin -ada ya bure
Tulimhitaji kiungo mkabaji wakamuuza Conor Gallagher ili wamsajili Joao Felix mdondokaji
Tulimhitaji winga wa kushindana na Mudryk tukapewa Sanchomnatishaji
Tulmhitaji kipa no. 1 tukaletewa Filip Jorgensen
Yaani kinachotakiwa na kilicholetwa ni vitu viwili tofauti
 
Hii comment yako inadhihirisha kwamba sporting directors hawajui mpira, hawajui mahitaji ya timu, hawajui nini wanafanya ofisini. Ndio maana tumetumia pesa nyingi sana kufanya sajili za ovyo. Mbaya zaidi matajiri wetu hawajui chochote kuhusu mpira.
 
Chelsea fc - 23/24
  • Total Transfer fees - €461.1M
  • Position - 6
  • Points - 63

Chelsea fc - 24/25
  • Total Transfer fees - €275.5M
  • Position - 7
  • Points - 43 (Bado mechi 12)
Zile kelele za 1bn team zitarudi tena kwa nguvu sana kama Chelsea ikishika nafasi ya 7-10
 
Hii comment yako inadhihirisha kwamba sporting directors hawajui mpira, hawajui mahitaji ya timu, hawajui nini wanafanya ofisini. Ndio maana tumetumia pesa nyingi sana kufanya sajili za ovyo. Mbaya zaidi matajiri wetu hawajui chochote kuhusu mpira.
Masporting director wanatola team ndogo bado wanamentality za team ndogo + wamiliki wajuaji hatari tupu
 
Visingizio viingiii ila Kocha ndio jinga no.1 hao hao watoto anaweza akawatumia akapata matokeo, hao watoto walonunuliwa wana kitu ndio mana wakaonwa.

Baca wale pale vitoto vingii lakini wanaongoza ligi. Mtasema ligi ya spain laini lakin timu zao kila kukicha zinazinyanyasa timu za EPL. Huo ugumu sijui unatoka wapi.
 
Taja timu ilishawahi kubeba EPL ikiwa na wachezaji wengi watoto?
 
Visingizio viingiii ila Kocha ndio jinga no.1 hao hao watoto anaweza akawatumia akapata matokeo, hao watoto walonunuliwa wana kitu ndio mana wakaonwa.

Baca wale pale vitoto vingii lakini wanaongoza ligi. Mtasema ligi ya spain laini lakin timu zao kila kukicha zinazinyanyasa timu za EPL. Huo ugumu sijui unatoka wapi.
Strasbourg wana watoto lakini sasa hiovi wanacheza ile mbaya huku wachezaji wake wengi ni wale waliokosa namba Chelsea

Ebu angalia hizi timu na wastani wa umri wao

PSG and Strasbourg wana umri mdogo lakini wana fanya vizuri

Strasbourg - wastani wa umri 21.3
PSG - 23.3
Chelsea - 23.4
Monaco - 23.6
Parma - 23.6
Barcelona - 23.7
Stade Reims - 23.9
Valencia - 24.1
Juventus - 24.3
Stuttgart - 24.3
Eintracht Frankfurt - 24.3

1740476914267.png
 
Leo Soton anafufukia kwa Chelsea,,, ! Full time chel 0: Soton 1, bichwa kubwa Cucurela Own goal
 
View attachment 3249066
Mkuu Wastani wa Umri mdogo is not applicable EPL, bali EPL inajitaji world class experienced players kubeba Kombe.
 
Leo Soton anafufukia kwa Chelsea,,, ! Full time chel 0: Soton 1, bichwa kubwa Cucurela Own goal
Southamptom lazima wafungwe ndio shida yao kubwa, hata kama wakishinda ila kufungwa ni jadi yao tangu ligi ianze. Hawawezi kabisa kujilinda
Na sisi Chelsea kuweka clean sheet ni shida kweli kweli
 
Back
Top Bottom