Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbu tusibiri kesho labda tutaona gemu nzuri.

Definately!

Arsenal hata wakienda ugenini hawachezi formation 'mbofu-mbofu' kama ya Chelsea; 9-1-0!!! 😡
 
game haina mvuto....na huyu messi hana lolote u kadenge mwingi.....

...unadhani? hapana bro, Messi analindwa na defenders wawili, kila mahala wapo naye...

Chelsea wanavizia long balls , labda wanyakue kagoli kamoja...
 
...unadhani? hapana bro, Messi analindwa na defenders wawili, kila mahala wapo naye...

Chelsea wanavizia long balls , labda wanyakue kagoli kamoja...

Wanatafuta goli la dakika za mwisho mwisho.
 
hii fomation ya chelsea kiboko 9-1-0 tehe tehe CL siku hizi haina ladha....tumewamiss ac milan
 
Jongo: chilambo?
chilambo:sema Jongo
Jongo: huku Nou Camp mambo yanaishia ishia....dakika ni ya 86' chelsea wanaendelea kujisafishia kwenda Italy kufungwa tena na mashetani weusi......
chilambo: Ni kweli kabisa waache wajichongee
 
hii fomation ya chelsea kiboko 9-1-0 tehe tehe CL siku hizi haina ladha....tumewamiss ac milan
Nataka kujua sides zenu kesho... Nyie acheni tu, mambo haya magumu timu yako ikiwa kiwanjani!
 
Hehehe, naona wameiga tulivyokiputa sisi season iliyopita, ila sasa msijeruhusu goli nyumbani kwenu. Lampard ameumia.
 
nam miss gaucho kwenye game kama hii.....
 
Nina furaha hapa nyie acheni king'ast wangu anampenda sana Messi
 
Nina furaha hapa nyie acheni king'ast wangu anampenda sana Messi

na wewe unafurahia ilo swala? Huyu Bojan wanamuuza Man City season ijayo hawa Barca kwa mwendo huu waisahau Rome.
 
Nataka kujua sides zenu kesho... Nyie acheni tu, mambo haya magumu timu yako ikiwa kiwanjani!

ARSENAL kesho 4-1-3-1

hizi formation nyingine, mfano hii ya Chelsea leo haifai kuangalia kwenye televisheni, bora kusikiliza tu redioni! Hawajui Afrika watu wanalipia kiingilio kuangalia CL kwenye vibanda vya makuti?

....aaarrrgghh , nimepoteza jioni yangu bure tu hapa!
 
MODs fungieni huyo Yo Yo anataka Chelsea ifungwe!
tehe tehe tehe shem sasa formation gani hii ya 9-1-0 bana....CL haina utamu nawaambieni yaani arsenal ndio washabiki wanaisubiria uwafurahishe kwa samba lao
 
NAONA the bluez wamechomoka . Sijui na huko darajani nako watacheza hivi kwa kulinda? Ila wakijifanya kushambilia wameumia mechi ya 2.
 
The blues on their way to Rome hahahahahahah mbona raha!!!
 
Back
Top Bottom