Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Mbu tusibiri kesho labda tutaona gemu nzuri.
Definately!
Arsenal hata wakienda ugenini hawachezi formation 'mbofu-mbofu' kama ya Chelsea; 9-1-0!!! 😡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbu tusibiri kesho labda tutaona gemu nzuri.
game haina mvuto....na huyu messi hana lolote u kadenge mwingi.....
Mjue hii thread yetu... Wacha madongo teh teh tehDefinately!
Arsenal hata wakienda ugenini hawachezi formation 'mbofu-mbofu' kama ya Chelsea; 9-1-0!!! 😡
...unadhani? hapana bro, Messi analindwa na defenders wawili, kila mahala wapo naye...
Chelsea wanavizia long balls , labda wanyakue kagoli kamoja...
Nataka kujua sides zenu kesho... Nyie acheni tu, mambo haya magumu timu yako ikiwa kiwanjani!hii fomation ya chelsea kiboko 9-1-0 tehe tehe CL siku hizi haina ladha....tumewamiss ac milan
Mkuu acha kutisha watu, hiyo fomesheni ya ajabu....Mjue hii thread yetu... Wacha madongo teh teh teh
Gaucho kwisha kazi anarudi kwao Brazil akaendeleze ufuska sasa...nam miss gaucho kwenye game kama hii.....
teh teh teh...MODs fungieni huyo Yo Yo anataka Chelsea ifungwe!
Nina furaha hapa nyie acheni king'ast wangu anampenda sana Messi
Nataka kujua sides zenu kesho... Nyie acheni tu, mambo haya magumu timu yako ikiwa kiwanjani!
tehe tehe tehe shem sasa formation gani hii ya 9-1-0 bana....CL haina utamu nawaambieni yaani arsenal ndio washabiki wanaisubiria uwafurahishe kwa samba laoMODs fungieni huyo Yo Yo anataka Chelsea ifungwe!