Kumbe kocha inaweza kuwa hatumtendei haki sisi mashabiki
Enzo Maresca walikuwa na kikao jana na bodi ambapo walijadili dirisha na matokeo ya hivi karibuni. Ametaja mshambuliaji tena, angalau mara ya 3 sasa ndani, na anadhani hatuna wasifu katika nafasi ya 6.
Kwa ufupi ameitaka bodi mara ya tatu sasa kumsajili striker mwenye uwezo wa kumalizia nafasi zinazotengenezwa
Pia amedai asajiliwe kiungo mkabaji namba 6.
Taarifa zinadai kuwa Kocha anawasifia na kuwalinda wachezaji huku nje tu kwenye vyombo vya habari lakini kule ndani ya pazia mambo ni tofauti kabisa.
Kwa upande wao SDs wanaamini hakuna striker mzuri sokoni kwa diriha hili la januari hadi dirisha lile kubwa la kiangazi.
View attachment 3216335