Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao..

Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana, mwanamikakati mbobevu, moto utakua mkali zaidi hata ndani ya CCM yeyewe....

Makundi yote ndani CCM hivi sasa, kama yalikuepo basi yatakua yamenywea na kurudi kwenye drawing table zao, kujipanga upya na kwakweli kujificha kabisa, la sivyo watajikuta upinzani....

The SG Dr.Emanual Nchimbi, can never ever tolerate or hastate to take sevear displinary measure, against any party members, who will in any way try, to interfear with party focus, programs and objectives πŸ’

Kidumu chama cha Mapinduzi
 
Hakuna cha "chemistry" wala nini hapo. Wamezoea vya kunyonga, vya kuchinja wataviwezea wapi!
Ni hali tete na ya kukatisha tamaa sana upinzani kutokana na safu hii πŸ’

Hili liko bayana kabisa...
 
wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao...
Uchaguzi huru na haki,tume huru na haki,ulinzi wa amani huru na haki,usajili huru na haki wa ofisi ya msajili wa vyama na sheria za siasa,mahakama huru na haki,bunge uhuru kwa mazingira ya sasa haki ni ngumu kwani ni kijani tupu.

Ikiwa hivyo tuje na mrejesho hapa,Kama hatuta ongea ya Senegal,Malawi,Kenya,ya Zambia na kwingine yafanabayo na hayo ambapo hatuta ulizana tena kwanini ujenzi wa shule ni zimamoto kila mwaka, hospitali zimamoto kila mwaka,umeme kichefu chefu kila siku,maji kichefu chefu kila siku,barabara kichefu chefu kila siku,umaskini kila kona kinachefuaπŸ€”
 
Sema Mungu tu......! Yaani

R.I.P Lowasa .........! Chemistry ingekoleaje?
Ushindi wa kishindo CCM2025, ni wa uhakika kwa zaidi ya asilimia 100%, kwa tathmini ya wazi kabisa, nje ya sheria ya uchaguzi πŸ’

R.I.P hayati ENL
 
Uchaguzi huru na haki,tume huru na haki,ulinzi wa amani huru na haki,usajili huru na haki wa ofisi ya msajili wa vyama na sheria za siasa,mahakama huru na haki...
Tanzania kisiasa, kiuchumi na kijamii hatufanani kwa namna yoyote ile na maeneo uloyataja, na kwahivyo yaliyotokea huko hayawezekani kabisa kwenye mazingira ya TzπŸ’

hayo mengine uloyataja pia,
sio matatizo bali ni dosari na kasoro tu, ambazo zinasahihishika na zinarekebishika. Na ukizibeba kama ndio hoja mbele ya CCM na wanainchi, utaanguka tu, kwasabb maeneo mengi hayo mambo yamefanyika vizuri sana na wanainchi wanafurahia sana πŸ’

kichefu chefu ni hali ya kawaida labla kacheki hospital huenda ni ujauzito ambalo ni jambo la kheri pia πŸ’
 
Wote wabweke lakini hakuna team itakayojengwa ya kukemea rushwa na wizi wa mali ya Umma hata siku moja
Kwa mmoja mmoja ukikemea wana mtandao wa wizi wanakuuwa ila wakiwa hata watano wakawa mawaziri na kupambana hapo ningewasifia sana

Ila kujipanga kushikilia mlo na keki ya Taifa mgawane peke yenu hizo ni tamaa tu za kuendelea kuiba
 
Actually,

CCM iko vizuri kupambana na rushwa,

na huko kwenye matarajio yako bado kidogo tunafika. wapo wachache wasio tu waaminifu bado wamejificha but the government and the party are on the right track na soon hao wezi wachache watabainika na watawekwa pembeni ili sheria ichukue mkondo wake πŸ’
 
kwamba eti wanaopanga mipango ya upinzani mfano chadema,
eti first class brain wao ndio kama vile yule jamaa wa Arusha au yule wa Tarime,
unategemea watajipanga vizuri kweli?πŸ’
Nadhani uwezo wako hautoshi kutambua mwanasiasa mwenye uwezo wa kufanikisha mikakati ya chama kwamba anatakiwa aweje.
 
wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao....
Nje ya vyombo vya Dola ccm haina chemistry yoyote. Ili wapinzani wawe imara, inabidi watumie silaha kama wafanyavyo ccm.
 
Nadhani uwezo wako hautoshi kutambua mwanasiasa mwenye uwezo wa kufanikisha mikakati ya chama kwamba anatakiwa aweje.
Sifa na jambo la kwanza kabisa mwanasiasa mwenye uwezo wa kufanikisha mikakati ya chama cha siasa, asiwe ana vuta bangi na asiwe ana beti πŸ’
 
Nje ya vyombo vya Dola ccm haina chemistry yoyote. Ili wapinzani wawe imara, inabidi watumie silaha kama wafanyavyo ccm.
Ni vigumu mno kwa Upinzani kua na first class brain kama za CCM kwenye vyama vyao....

Na kwahivyo upinzani hawawezi kua imara bali dhaifu na vibogoyo daima, hususani hapa TzπŸ’
 
Kupata kichekesho hiki bonyeza *^β‚©29ΒΏβ˜†β™€β™‘#€
 
Nasubiri waliokwapua kwenye ripoti za CAG wafungwe
Yaani mpaka watu wale mvua za kutosha na hata wengine kuhukumiwa vifo ( ingawa hakuna) lakini pia inatosha maana yake ni jela maisha mpaka kufa
Mnabebana sana yaani hiyo list ya watendaji ambayo iko mezani kwa Rais tangu Nyerere bora ingechanwa maana wateule ni wale wale na majizi ni wale wale
Wizi unaanza udogoni mkuu asikuambie mtu
Mtoto anaanza la kwanza tu anarudi home na kalamu isiyokuwa yake
Hapo tegemea hata awe waziri atatusumbua tu

Wazuri wapo wengi ila ni wajibu kuwatafuta sio wapiga debe huku wakipora mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…