Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
pole pole ndio mwendo,Nasubiri waliokwapua kwenye ripoti za CAG wafungwe
Yaani mpaka watu wale mvua za kutosha na hata wengine kuhukumiwa vifo ( ingawa hakuna) lakini pia inatosha maana yake ni jela maisha mpaka kufa
Mnabebana sana yaani hiyo list ya watendaji ambayo iko mezani kwa Rais tangu Nyerere bora ingechanwa maana wateule ni wale wale na majizi ni wale wale
Wizi unaanza udogoni mkuu asikuambie mtu
Mtoto anaanza la kwanza tu anarudi home na kalamu isiyokuwa yake
Hapo tegemea hata awe waziri atatusumbua tu
Wazuri wapo wengi ila ni wajibu kuwatafuta sio wapiga debe huku qakipora mali
CCM inajihimiza na kujisahihisha yenyewe 🐒 🐒
united and vibrant opposition ina nafasi kubwa sana, katika kusukuma, kuchochea uwajibikaji na uwazi serikalini but hakuna ...