Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Na mtakunya bila kuvua nguo safari hiikichaa ni yule anae ibiwa kura kila uchaguzi au sijui ni zuzu 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mtakunya bila kuvua nguo safari hiikichaa ni yule anae ibiwa kura kila uchaguzi au sijui ni zuzu 🐒
ghadhabu na matusi hayahitaji nguvu wala akili mingi kuyadhibiti 🐒Andaeni polisi na bunduki za kutosha safari hii matrako yenu
Wewe pumbavu kwanza ujitambulishe manake bushstars haikutambui wala team Msoga haikuhitaji. Je wewe ni wale ng'ombe waliokatika mikia?just relax, wait and see 🐒
hamtafurukuta kabisa this time round tena
Eti we we ndo think tank wa chama ndo wanakutegemea kwa akiliWanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao..
Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana, mwanamikakati mbobevu, moto utakua mkali zaidi hata ndani ya CCM yeyewe....
Makundi yote ndani CCM hivi sasa, kama yalikuepo basi yatakua yamenywea na kurudi kwenye drawing table zao, kujipanga upya na kwakweli kujificha kabisa, la sivyo watajikuta upinzani....
The SG Dr.Emanual Nchimbi, can never ever tolerate or hastate to take sevear displinary measure, against any party members, who will in any way try, to interfear with party focus, programs and objectives 🐒
Kidumu chama cha Mapinduzi
They are free theoretically, but realistically are not, and this is fact, not your porojos.your concerns are personal and it's ur right 🐒
but for the broad interests of the country, all organs of the state, are free and they are carrying their duties and responsibilities arconding to the constitution, for the benefits of all citizens 🐒
Hata vingeshiriki vyama 1,000 hiyo haimaanishi uchaguzi huo ni wa haki. Hakuna uwezekano wa watu kutaka tume huru ya uchaguzi zaidi ya miaka 30 bila mafanikio, huku uhuni ule ule ukifanyika, na 2020 ikawa wazi kabisa. Kwa mtu mwenye akili timamu kuendelea kushiriki upuuzi wa aina hiyo, lazima awe ni mjinga wa kiwango Cha juu sana.ushahidi wa kubuni, utengeneze mwenyewe halafu uwe na mashaka kwako mwenyewe tena 🐒
ati kuna ushahidi 100%🤣
ushahidi wako baki nao na vyama vingine ambavyo havijaibiwa viendelee na mambo yao 🐒
we vyama vinashiriki uchaguzi zaidi ya 20, chama chako pekeyake ndio kinaibiwa kila uchaguzi 🤣
hicho chama kitakua na tatizo
Mmeacha kuiba kura? Maana ndiyo silaha yenu kubwa ya ushindi.kwamba eti wanaopanga mipango ya upinzani mfano chadema,
eti first class brain wao ndio kama vile yule jamaa wa Arusha au yule wa Tarime,
unategemea watajipanga vizuri kweli?[emoji205]
Hakuna chemistry wala physics Sana Sana kuna mechanical defects.Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao..
Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana, mwanamikakati mbobevu, moto utakua mkali zaidi hata ndani ya CCM yeyewe....
Makundi yote ndani CCM hivi sasa, kama yalikuepo basi yatakua yamenywea na kurudi kwenye drawing table zao, kujipanga upya na kwakweli kujificha kabisa, la sivyo watajikuta upinzani....
The SG Dr.Emanual Nchimbi, can never ever tolerate or hastate to take sevear displinary measure, against any party members, who will in any way try, to interfear with party focus, programs and objectives [emoji205]
Kidumu chama cha Mapinduzi
yes ndiyo hiyo,Hakuna chemistry wala physics Sana Sana kuna mechanical defects.
badilisheni kisingizio na sababu ya kukataliwa na wanainchi na kushindwa uchaguzi 🐒Mmeacha kuiba kura? Maana ndiyo silaha yenu kubwa ya ushindi.
kua na maoni ya kwamba Tume ya uchaguzi ni huru ama si huru bado ni maoni na mtazamo wako binafsi huru na ni haki yako...Hata vingeshiriki vyama 1,000 hiyo haimaanishi uchaguzi huo ni wa haki. Hakuna uwezekano wa watu kutaka tume huru ya uchaguzi zaidi ya miaka 30 bila mafanikio, huku uhuni ule ule ukifanyika, na 2020 ikawa wazi kabisa. Kwa mtu mwenye akili timamu kuendelea kushiriki upuuzi wa aina hiyo, lazima awe ni mjinga wa kiwango Cha juu sana.
Mtu mjinga tu ndio huamini wingi ndio uhalali wa jambo, na sio ubora au ufanisi wa jambo husika. Kama huamini kuwa watu wanaojitambua, subiri uone voters turnout itakavyokuwa ndogo sana kuanzia Sasa. Hapa tulipofikia panaitwa enough is enough.
your opinions are your rights 🐒They are free theoretically, but realistically are not, and this is fact, not your porojos.
eti first class brain anazira kwa gubu 🐒Eti we we ndo think tank wa chama ndo wanakutegemea kwa akili
Ndo maana nchi Haina umeme na deni la maccm limefikia tril 90
relax usipanic 🐒Wewe pumbavu kwanza ujitambulishe manake bushstars haikutambui wala team Msoga haikuhitaji. Je wewe ni wale ng'ombe waliokatika mikia?
Amini usiamini, hizo ni sifa za ccm broo. Wewe jiulize tu, kwa nini hawataki Tume huru? Wanajua huwa wanashinda kwa wizi tuu. Wanajua kabisa uchaguzi ukiwa huru hawatoboi kamwe..upinzani hakuna sera, hakuna dira, hakuna ofisi, hakuamini, hakuna wangombea makini, wamejazana vibaraka tu 🐒
Amini usiamini, hizo ni sifa za ccm broo. Wewe jiulize tu, kwa nini hawataki Tume huru? Wanashinda kwa wizi tuu. Wanajua kabisa uchaguzi ukiwa huru hawatoboi kamwe..
View: https://youtu.be/cMBS4qMPJ8M?si=u81NLI-DXJ3sR5vn
Ni lini ulishawahi kukosoa safu yoyote ya uongozi ndani ya CCM? Leo kama angeteuliwa Steve Nyerere kuwa mwenezi bado ungesifia tu. Chawa hanaga maoni yanayojitegemea siku zote ni kujipendekeza kwa yoyote anaepata madaraka.Ni hali tete na ya kukatisha tamaa sana upinzani kutokana na safu hii [emoji205]
Hili liko bayana kabisa...
kwahivyo umeghadhabishwa na maoni yangu dhidi ya mabadiliko ya viongozi waandamizi CCM 🤣Ni lini ulishawahi kukosoa safu yoyote ya uongozi ndani ya CCM? Leo kama angeteuliwa Steve Nyerere kuwa mwenezi bado ungesifia tu. Chawa hanaga maoni yanayojitegemea siku zote ni kujipendekeza kwa yoyote anaepata madaraka.
Kila uteuzi unapofanyika badala ya kufikiria hao viongozi watawahudumiaje wananchi, kazi yenu ya kwanza mnafikiria watawakomeshaje wapinzani hasa Chadema. Watu wa aina yako ni kizazi cha hovyo sana.
Safari hii CCM ifanye ifanyavyo hawana chao , Mungu amekifuta Mda kiutawala chama ichi , machawa jiandaeni kwenda BurundiWanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao..
Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana, mwanamikakati mbobevu, moto utakua mkali zaidi hata ndani ya CCM yeyewe....
Makundi yote ndani CCM hivi sasa, kama yalikuepo basi yatakua yamenywea na kurudi kwenye drawing table zao, kujipanga upya na kwakweli kujificha kabisa, la sivyo watajikuta upinzani....
The SG Dr.Emanual Nchimbi, can never ever tolerate or hastate to take sevear displinary measure, against any party members, who will in any way try, to interfear with party focus, programs and objectives 🐒
Kidumu chama cha Mapinduzi