Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

Andaeni polisi na bunduki za kutosha safari hii matrako yenu
ghadhabu na matusi hayahitaji nguvu wala akili mingi kuyadhibiti 🐒

utadhibitiwa kistaarabu wew pamoja na mitusi yako na watu na mambo mengine yaendelee sawa sawai bila mbambamba🐒

so,
andaa matusi ya kutosha ili utambulike haraka na kupata zawaidi yako mujarabu mapema sana.
 
just relax, wait and see 🐒

hamtafurukuta kabisa this time round tena
Wewe pumbavu kwanza ujitambulishe manake bushstars haikutambui wala team Msoga haikuhitaji. Je wewe ni wale ng'ombe waliokatika mikia?
 
CCM hakuna chemistry, iletwe katiba mpya uone chemistry inafananaje.
 
Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao..

Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana, mwanamikakati mbobevu, moto utakua mkali zaidi hata ndani ya CCM yeyewe....

Makundi yote ndani CCM hivi sasa, kama yalikuepo basi yatakua yamenywea na kurudi kwenye drawing table zao, kujipanga upya na kwakweli kujificha kabisa, la sivyo watajikuta upinzani....

The SG Dr.Emanual Nchimbi, can never ever tolerate or hastate to take sevear displinary measure, against any party members, who will in any way try, to interfear with party focus, programs and objectives 🐒

Kidumu chama cha Mapinduzi
Eti we we ndo think tank wa chama ndo wanakutegemea kwa akili

Ndo maana nchi Haina umeme na deni la maccm limefikia tril 90
 
your concerns are personal and it's ur right 🐒

but for the broad interests of the country, all organs of the state, are free and they are carrying their duties and responsibilities arconding to the constitution, for the benefits of all citizens 🐒
They are free theoretically, but realistically are not, and this is fact, not your porojos.
 
ushahidi wa kubuni, utengeneze mwenyewe halafu uwe na mashaka kwako mwenyewe tena 🐒

ati kuna ushahidi 100%🤣

ushahidi wako baki nao na vyama vingine ambavyo havijaibiwa viendelee na mambo yao 🐒

we vyama vinashiriki uchaguzi zaidi ya 20, chama chako pekeyake ndio kinaibiwa kila uchaguzi 🤣
hicho chama kitakua na tatizo
Hata vingeshiriki vyama 1,000 hiyo haimaanishi uchaguzi huo ni wa haki. Hakuna uwezekano wa watu kutaka tume huru ya uchaguzi zaidi ya miaka 30 bila mafanikio, huku uhuni ule ule ukifanyika, na 2020 ikawa wazi kabisa. Kwa mtu mwenye akili timamu kuendelea kushiriki upuuzi wa aina hiyo, lazima awe ni mjinga wa kiwango Cha juu sana.

Mtu mjinga tu ndio huamini wingi ndio uhalali wa jambo, na sio ubora au ufanisi wa jambo husika. Kama huamini kuwa watu wanaojitambua, subiri uone voters turnout itakavyokuwa ndogo sana kuanzia Sasa. Hapa tulipofikia panaitwa enough is enough.
 
kwamba eti wanaopanga mipango ya upinzani mfano chadema,
eti first class brain wao ndio kama vile yule jamaa wa Arusha au yule wa Tarime,
unategemea watajipanga vizuri kweli?[emoji205]
Mmeacha kuiba kura? Maana ndiyo silaha yenu kubwa ya ushindi.
 
Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao..

Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana, mwanamikakati mbobevu, moto utakua mkali zaidi hata ndani ya CCM yeyewe....

Makundi yote ndani CCM hivi sasa, kama yalikuepo basi yatakua yamenywea na kurudi kwenye drawing table zao, kujipanga upya na kwakweli kujificha kabisa, la sivyo watajikuta upinzani....

The SG Dr.Emanual Nchimbi, can never ever tolerate or hastate to take sevear displinary measure, against any party members, who will in any way try, to interfear with party focus, programs and objectives [emoji205]

Kidumu chama cha Mapinduzi
Hakuna chemistry wala physics Sana Sana kuna mechanical defects.
 
Hakuna chemistry wala physics Sana Sana kuna mechanical defects.
yes ndiyo hiyo,
ambayo imenyong'onyeza na kutokomeza kabisaa matumaini ya upinzani kupata chochote uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
this is CCM bana
 
Mmeacha kuiba kura? Maana ndiyo silaha yenu kubwa ya ushindi.
badilisheni kisingizio na sababu ya kukataliwa na wanainchi na kushindwa uchaguzi 🐒

hiyo sio excuse ya kudoofisha ushindi wa kishindo wa CCM.
mtapigwa vizuri sana serikali za mitaa, lakini mtapigwa vizuri zaidi uchaguzi mkuu, bila mbambamba yoyote 🐒
 
Hata vingeshiriki vyama 1,000 hiyo haimaanishi uchaguzi huo ni wa haki. Hakuna uwezekano wa watu kutaka tume huru ya uchaguzi zaidi ya miaka 30 bila mafanikio, huku uhuni ule ule ukifanyika, na 2020 ikawa wazi kabisa. Kwa mtu mwenye akili timamu kuendelea kushiriki upuuzi wa aina hiyo, lazima awe ni mjinga wa kiwango Cha juu sana.

Mtu mjinga tu ndio huamini wingi ndio uhalali wa jambo, na sio ubora au ufanisi wa jambo husika. Kama huamini kuwa watu wanaojitambua, subiri uone voters turnout itakavyokuwa ndogo sana kuanzia Sasa. Hapa tulipofikia panaitwa enough is enough.
kua na maoni ya kwamba Tume ya uchaguzi ni huru ama si huru bado ni maoni na mtazamo wako binafsi huru na ni haki yako...

na wale tulio wengi nchini, wenye mitazamo na maoni tofaut na yako tutaendelea kushiriki kikamilifu kampeni na hatimae uchaguzi huru, wa wazi na wa haki ikiwa ni kutekeleza haki yetu ya kikatiba kuchagua viongozi tunaowataka 🐒

mbambamba baki nazo, ndio saizi yako na wachache wenzio, tunawaheshimu sana na muwe watulivu tu, maana hakuna namna nyingine sasa 🐒
 
They are free theoretically, but realistically are not, and this is fact, not your porojos.
your opinions are your rights 🐒

but Electoral Commission of Tanzania is always free, conducting free, fair and transparency elections in nature with national and international standards....
 
Eti we we ndo think tank wa chama ndo wanakutegemea kwa akili

Ndo maana nchi Haina umeme na deni la maccm limefikia tril 90
eti first class brain anazira kwa gubu 🐒

badala ya kujoins brains na kuja na mbadala wa hoja, sera au uelekeo analalamika, anasusa na kuzira 🤣
 
Wewe pumbavu kwanza ujitambulishe manake bushstars haikutambui wala team Msoga haikuhitaji. Je wewe ni wale ng'ombe waliokatika mikia?
relax usipanic 🐒

don't narrow down your thinking capacity...
hapana kuchafukwa wala kuhemkwa na mipango ya wengine ..

usizubae na imani potofu ati sijui nan hatambuliki au hahitajiki wap🤣
hiyo ni bure kabisaa, useless 🐒
 
Amini usiamini, hizo ni sifa za ccm broo. Wewe jiulize tu, kwa nini hawataki Tume huru? Wanashinda kwa wizi tuu. Wanajua kabisa uchaguzi ukiwa huru hawatoboi kamwe..

View: https://youtu.be/cMBS4qMPJ8M?si=u81NLI-DXJ3sR5vn

tume huru ipo kwa mujibu wa Sheria na katiba ya nchi 🐒

hiyo unayoitaka wewe iunde kwa katiba yako mwenyewe na ufanye uchaguzi wako mwenyewe, no problem 🐒

wanainchi wa Tanzania watashiriki uchaguzi wa Serikali za mtaa mapema mweshoni mwa mwaka huu 2024, na vile vile watashiriki kikamilifu uchaguzi mkuu huru wa oct.2025 bila mbambamba za mtu yeyeto, chini ya Tume huru ya uchaguzi iliyopo 🐒

hayapo wa kumlazimisha au kumshurutisha mtu mwingine, ashiriki haki yake ya msingi ya kuchagua viongozi wanao wataka, kila moja yuko huru...

ukiona sawa shiriki shiriki, ukiona si sawa tulia nyumbani na ujiinjoy na familia yako, unababaika na nini 🐒
 
Ni hali tete na ya kukatisha tamaa sana upinzani kutokana na safu hii [emoji205]

Hili liko bayana kabisa...
Ni lini ulishawahi kukosoa safu yoyote ya uongozi ndani ya CCM? Leo kama angeteuliwa Steve Nyerere kuwa mwenezi bado ungesifia tu. Chawa hanaga maoni yanayojitegemea siku zote ni kujipendekeza kwa yoyote anaepata madaraka.

Kila uteuzi unapofanyika badala ya kufikiria hao viongozi watawahudumiaje wananchi, kazi yenu ya kwanza mnafikiria watawakomeshaje wapinzani hasa Chadema. Watu wa aina yako ni kizazi cha hovyo sana.
 
kwahivyo umeghadhabishwa na maoni yangu dhidi ya mabadiliko ya viongozi waandamizi CCM 🤣

si mbadilishe na ninyi tuwajadili 🐒

kwahivyo Chadema mnahisi mabadiliko haya yatawakimesha 🤣

kumkomesha bwanamdogo kwa mnyika ni kumuonea tu coz hana impact yoyote na wala sio tishio 🐒

CCM inalenga kuwahudumia, kuwaongoza na kuwatumikia wanainchi, gubu mbaki nazo huko huko 🐒
 
Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao..

Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana, mwanamikakati mbobevu, moto utakua mkali zaidi hata ndani ya CCM yeyewe....

Makundi yote ndani CCM hivi sasa, kama yalikuepo basi yatakua yamenywea na kurudi kwenye drawing table zao, kujipanga upya na kwakweli kujificha kabisa, la sivyo watajikuta upinzani....

The SG Dr.Emanual Nchimbi, can never ever tolerate or hastate to take sevear displinary measure, against any party members, who will in any way try, to interfear with party focus, programs and objectives 🐒

Kidumu chama cha Mapinduzi
Safari hii CCM ifanye ifanyavyo hawana chao , Mungu amekifuta Mda kiutawala chama ichi , machawa jiandaeni kwenda Burundi
 
Back
Top Bottom