Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

pole pole ndio mwendo,
CCM inajihimiza na kujisahihisha yenyewe ๐Ÿ’ ๐Ÿ’

united and vibrant opposition ina nafasi kubwa sana, katika kusukuma, kuchochea uwajibikaji na uwazi serikalini but hakuna ...
 
Hakuna jipya watakalofanya kwenye mustakabali wa uchumi, Arya, elimu,ufisadi, zaidi ya political shows za kipuuzi tu,
Nyani wapya msitu uleule.
 
Hakuna jipya watakalofanya kwenye mustakabali wa uchumi, Arya, elimu,ufisadi, zaidi ya political shows za kipuuzi tu,
Nyani wapya msitu uleule.
jipya liko upinzani dhaifu sio ๐Ÿ’

wana CCM wanaongozwa na wana CCM wenyewe...

haiwezekani msitu uwe ule ule halafu nyani watoke chadema ๐Ÿ’
 
ni vigumu mno kwa Upinzani kua na first class brain kama za CCM kwenye vyama vyao....

na kwahivyo upinzani hawawezi kua imara bali dhaifu na vibogoyo daima, hususani hapa Tz๐Ÿ’
Uwe na first class brain, kisha utegemee vyombo vya Dola! Uza ubongo huo ๐ŸŒˆ maana unakaa nao kwa hasara.
 
pole pole ndio mwendo,
CCM inajihimiza na kujisahihisha yenyewe ๐Ÿ’ ๐Ÿ’

united and vibrant opposition ina nafasi kubwa sana, katika kusukuma, kuchochea uwajibikaji na uwazi serikalini but hakuna ...
Very true ๐Ÿ‘๐Ÿฟ ๐Ÿ‘Œ
 
Uwe na first class brain, kisha utegemee vyombo vya Dola! Uza ubongo huo ๐ŸŒˆ maana unakaa nao kwa hasara.
kwahiyo dola ifutwe right?๐Ÿ’

ama kusiwe na chama Tawala ๐Ÿคฃ

CCM inategemea na kutumia zaidi upinzani dhaifu na kibogoyo, kujizatiti mamlakani ๐Ÿ’

yaani CCM inatawala with completely no pressure, inatawala with peace all over the corners of the country ๐Ÿ’๐Ÿ’
 
Ni kweli, pale mjinga anapojisifia ana akili kisa anafaulu kwa kuiba mtihani!
 
Ni kweli, pale mjinga anapojisifia ana akili kisa anafaulu kwa kuiba mtihani!
you think that reason will interfear CCM from clinching into power?๐Ÿ’

that is useless and none sense to CCM.
You just continue using it, if helps you getting relief ๐Ÿ’
 
Thubutuuuuuuh !!!!
 
you think that reason will interfear CCM from clinching into power?๐Ÿ’

that is useless and none sense to CCM.
You just continue using it, if helps you getting relief ๐Ÿ’
I repeat, CCM will continue to stay in power with this election commission, and the available constitution in the backup of State organs. But you don't have any power to stay in power legally, and you won't be able to. Your days are over.
 
Kama mnajiamini, kwanini hamruhusu tume huru ya uchaguzi?
 
Mkuu,
Labda kwa WIZI WA KURA tu, nje ya hapo hakuna kitu kabisa
Mkuu uchaguzi hata usimamiwe na muungwana wa viongozi wa andamizi wa upinzani mathalani, Chadema, cuf ACT, TLP, UDP n.k halafu mwenyekiti wa Tume awe MBOWE hawezi kuishinda CCM imara namna hii, yenye sera na viongozi madhubuti kama waliopo sasa, coz

upinzani hakuna sera, hakuna dira, hakuna ofisi, hakuamini, hakuna wangombea makini, wamejazana vibaraka tu ๐Ÿ’

yaan kiufupi upinzani hawachaguliki na malalamiko na visingizio vyao ๐Ÿ’
 
Umekuja kupima upepo?. Ccm bila wizi wa kura na mabavu ya kutumia nguvu ya dola ni hamna kitu
hata msemeje,
CCM will never ever loose concentrations to its vision, goals and objectives of winning elections and lead the government ๐Ÿ’
 
Kama mnajiamini, kwanini hamruhusu tume huru ya uchaguzi?
tume huru ya uchaguzi kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi ipo, na kama una shida nayo, basi hilo ni jambo lako binafsi tafuta namna binafsi ya kulishughulikia๐Ÿ’

Lakini tume huru ya Taifa ya uchaguzi ipo na inafanya kazi zake vizuri na kwa uwazi kabisa ๐Ÿ’
 
Mda wowote unaweza sikia steve mengele au shilole katibu uenezi mbogamboga...kiongozi wenu uwezo mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ