Chibu ashtukia chezo la "Salome" kuhusu mtoto

Chibu ashtukia chezo la "Salome" kuhusu mtoto

Wanasemaga UKIWA na ela ndio utapata mapenzi ya dhati ni big NO Nina ushuhuda WA bro wangu mmoja ivi alichomekewa MIMBA watu wakamtonya Sio wako HUYO....siku kachukua kile kiumbe kamdanganya mama yake natoka NAYE out mwanagu kumbe kaenda KUCHEKI DNA NASHUKURU hakumuua yule mwanamke zaidi ya kumfukuza na KITOTO kishaanzaga chekechea za mamilioni izi dah
Acha uongo DNA sio Malaria kwamba unaenda pima hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamisa na nenga? Hapana.hamisa alichosema zamani alisema alikuwa.kwenye.mahusiano na diamond muda mrefu akapata.mimba ikatoka, wakajaribu sana ndo akatokea huyu mtoto sasa nenga kaingiaje humu au ndo mimi sielewi?
Hamisa alipofikia nenga sio type yake labda awe chawa.
Mobetto na Nenga wamekulanaaa sanaaa, tena hata kabla Nenga hajatua kwa Linah, wala sio story mpyaa mjini. Labda hukuwa unafatilia udaku mwayaaa.

Na ni kweli wakati ulee Dylan alikua ameshazaliwa kitambooooo, sijui labda walianzaa zaman hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana roho ngumu sana...mbona hawaendani kabisa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawaendani na nan? Mbna Nenga yuko fresh sanaaaa. Tena naona kwa wasanii wa kiume ukimtoa Kiba anaefata yeye kwa muonekano wa kuwa ktk mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasnza kuielewa maana mmoja angekuwa hana asingeweza kunioa wameamua kubebana ili walindane maana dah

Kale ka nenga na kile ki mdomo? Kha si bora hata akina vunja bei ni mwanaume hata wakimkuta nae sawa tu. Nenga? 🤣🤣
Sasa na Vunjabei tofauti yao ni nini wakati wote ni wanaume.
 
Umeandika kwa uchungu hadi nimehisi huruma jamani, pole sikupanga niumize hisia zako, 🥲

Ila si ungesema tu hua mnachukua wote ndio maana mnajuana? [emoji848]
Nimekupa Somo tu maana comments zako ni za kugeneralize mambo ,sio humu ndani wote wamepigika maana kila mtu anayetoa mawazo tofauti na wewe basi amepigika ,watu wapo njema.
 
Ruge-->Nandy ----Jizzo-->Betto --->Nandy-->Nenga --->Betto-Nenga.

Ni Kazeze Ni Kazeze Ni Kazeze ilikuwa ni saa kumi kasorobo sheikh mbwana yupo msikitini na baadhi ya waamini akihadhini allahu akbar allahu akbar akiwa anamaanisha Mungu mkubwa Mungu Mkubwa.
Mzee wangu nipe jina la hii nyimbo nimeikumbuka
 
Back
Top Bottom