Wasio muamini Allah na alkhera ni watenda dhambi au sio watenda dhambi27:4Kwa hakika wale wasioiamini akhera tumewapambia vitendo vyao,kwa hivyo wanatangatanga ovyo.
UFAFANUZI WANGU:
Kuna watu hawaamini kuwa Mungu yupo,lakini ni wazma wa afya,wanakula,wanalala vizuri.
Kwa mawazo yako wangedhani Mungu angewapa adhabu wakiwa hapa duniani.
Ndo Mungu anasema tumewapambia vitendo vyao hivyo wanatanga tanga.
Yaani wao kutokuamini kwao Mungu wanaona wako sahihi kumbe wanakosea.View attachment 2037731
NI WATENDA DHAMBI WAKUBWA SANAWasio muamini Allah na alkhera ni watenda dhambi au sio watenda dhambi
Allah kasema kawapambia hizo dhambi , hili nimeshamaliza,NI WATENDA DHAMBI WAKUBWA SANA
[emoji706][emoji706][emoji706]Wewe unataka story za vijiweni wakati Mimi nipo makini , umeseme ni mbora , nimekuuliza ubora na ukamilifu wa binadamu ni kuto kuwa na meno yote ya mbele? Na alikuwa anaimbaje Koran bila meno?
“The Messenger of Allah (ﷺ) was wounded on the Day of Uhud. His molar was broken and his helmet was crushed on his head. Fatimah was washing the blood from him and ‘Ali was pouring water on him from a shield....Sunan Ibn Majah 3464
Kwa hiyo unataka kusema Aya sio ya kweli au? Alafu wewe upo hapa kwa nini usieleweshe na kuipingahlf Qur'an haitafsiriwi na aya moja wala hadithi moja tuulize sisi waislamu wenyewe sio unaleta aya unayoona inakufavour ww tuu
Ndio maana nakwambia mara kwa mara usipinge maneno ya muhammad na Allahhlf Qur'an haitafsiriwi na aya moja wala hadithi moja tuulize sisi waislamu wenyewe sio unaleta aya unayoona inakufavour ww tuu
Kisichopo hakithibitishwi hakipo kwasababu hakipo, mwenye madai ya kwamba kitu fulani kipo ndio mwenye wajibu wa kuja na uthibitisho ambao unaweza kupimikaLogic si katika Sayansi kama ulivyo gusia hapo juu. Sababu logic ilikuwepo kabla ya kuwepo Sayansi bali kabla ya kuwepo hizo hizo "Scientific Precedures".
Msingi gani wa Logic una kubali hiyo proof ? Logic ya Wagiriki au kina nani ?
Nakukini kwa swali. Unaweza kukikataa kitu usichokijua ? Hili lijawezekana vipi ? Maana yake kawaida anaye pinga jambo huyo hulijua jambo hilo ndiyo maana analipinga. Ndiyo maana katika adabu za mijadala kaida hii ipo inayosema ya kuwa "Anaye kanusha huwa anatangulizwa kuthibitisha sababu huwa ana ziada ya elimu". Rejea kitabu "The etiquette of research and debate".
Yaani ukihoji pasi na kukanusha yule aliye sema anapaswa athibitishe ila unapokanusha wewe unaye kanusha ndiyo unatangulizwa uthibitishe.
Sasa shida yenu nyinyi mnakanusha mambo msiyo yajua ndiyo maana mnaptezea watu muda.
Nimekuuliza swali unaweza vipi kukanusha jambo usilo lijua ?
Hili haliwezekani na hiki ndicho kichochoro cha wakana Mungu wote ambao hudhani ya kuwa jukumu la kuthibitisha jambo ni la upande wa wanao kiri na si upande wao wanao kanusha,hii huonyesha ya kuwa mnauwezo mdogo sana wa kufikiri.
Nikikuuliza uchawi ni nini huwezi kujibu lakini hapo hapo unasema haupo ukiombwa ushahidi huna. Huku ni kuikosea adabu elimu na watu wake.
Nikishaona unasema maandiko Yako yatupwe kwenye Dustbin najua kazi nimemaliza[emoji706][emoji706][emoji706]
Mjinga katika ubora wakeNikishaona unasema maandiko Yako yatupwe kwenye Dustbin najua kazi nimemaliza
Ilitakiwa uone huruma , jamaa kapigwa jiwe kwa kombeo kidogo wamuueMjinga katika ubora wake
Hata wewe unaona dhambi zako NI tamuAllah kasema kawapambia hizo dhambi , hili nimeshamaliza,
Allah anawapambia dhambi wazione tamu na Lucifer nae anawapambia dhambi wazione tamu
Swali la msingi umejuaje hakipo ?Kisichopo hakithibitishwi hakipo kwasababu hakipo, mwenye madai ya kwamba kitu fulani kipo ndio mwenye wajibu wa kuja na uthibitisho ambao unaweza kupimika
Unategemea kupata uthibitisho gani kwa kitu ambacho hakipo?
Hata wewe hapo unaweza kuthibitisha mimi sio Mungu?
Lucifer anapambia na Allah anapambia dhambi , hili nimeshathibitishaHata wewe unaona dhambi zako NI tamu
Ndo maana haumuamini Mungu
Ndio hivyo.mwisho wa siku mauuti yanakukuta.Lucifer anapambia na Allah anapambia dhambi , hili nimeshathibitisha
Hilo sio swali la msingi, kwasababu lina lay kwenye contradictionSwali la msingi umejuaje hakipo ?
Kumrudia Mungu AllahNdio hivyo.mwisho wa siku mauuti yanakukuta.
Amka mapema na umrudie Mungu
Nipo kwa Mungu tayari ,ndio napambana na wanao nipambia dhambi nizione tamu nimuache MunguNdio hivyo.mwisho wa siku mauuti yanakukuta.
Amka mapema na umrudie Mungu
Mungu YESU?Nipo kwa Mungu tayari ,ndio napambana na wanao nipambia dhambi nizione tamu nimuache Mungu