Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
Okay... asante nimekuelewa mkuuNi mwezi wa bandia unao angaza nyakati za usiku, ili watu wafanye kazi kwa ufanisi masaa yote 24! Siyo jua.
Okay... asante nimekuelewa mkuuNi mwezi wa bandia unao angaza nyakati za usiku, ili watu wafanye kazi kwa ufanisi masaa yote 24! Siyo jua.
Anha,sawa mkuuHakuna kitu kama kama hicho
Ni Artificial na haliwaki ama kuwekwa juu kama la Asili
Lipo kwenye chumba maalum na ni kwa ajili ya kuzalisha Umeme
Karibu Lushoto uje tule Pasaka na pia kusherehekea Ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo.Okay... asante nimekuelewa mkuu
Kwani kuna uhaba wa mwanga na joto la jua hadi tuhitaji jua la kutengeneza?Sahihi mkuu ...
Matumizi yake siyo kumulika nadhani.
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa .. hii ni SAYANSI ya nuclear fusion (muungano wa nyuklia)
Jua husika kitakuwa Lina zarisha nishati Safi na ya Bei rahisi Sana ... Inazalisha nyuzi joto milioni 120 katika Kila kipindi Cha SEKUNDE 101.
Hilo Joto kali unalolisema ni kwa Afrika sio ChinaKwani kuna uhaba wa mwanga na joto la jua hadi tuhitaji jua la kutengeneza?
Jotoridi lililopo kwasasa duniani linahitaji kupunguzwa kwa mataifa makubwa kupunguza uzalishaji wa hewa chafu viwandani.
Kama ni jua kwa ajili ya uzalishaji wa umeme mbona jua lipo kali sana kote ulimwenguni hadi mataifa ya ulimwengu yamekuwa yakikutana mara kwa mara ili kuona namna ya kudhibiti joto kali linalotokana na kuwaka kwa jua kusiko kawaida.
CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina.
Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa hazizalishwi MAREKANI Bali huzalishwa CHINA na kufanyiwa finishing (brandunga in specific) ndani ya MAREKANI.
Bidhaa Kama nguo za brand kubwa, simu za brand kubwa na VIFAA vingi vya kielectronic huzalishwa CHINA na ma supliyer wa kichini Kisha MAREKANI huvijumua ... akisha kuandika nembo yake hupandisha Bei kwa zaidi ya mara 100 ya Bei halisi na Kisha kuziuza Kama bidhaa ya kimarekani akipata faida kubwa kupita kiasi.
Mtu atauliza kwanini MAREKANI hufanya hivyo ?
Well kimsingi MAREKANI hawez kuzalisha bidhaa kwa ukubwa kama china kwa sabab mbali mbali ikiwepo mazingira magum ya kiuzalishaji ndan ya Taifa lake, mfano malipo ya wafanyakazi na gharama za usimamizi na uendeshaji wa viwanda ni ngum Sana ndan ya MAREKANI .
Pia upatikanaji wa Malighafi kwa bidhaa nyingi ni mwepesi Sana china as kwa nchi ya china Kuna cheap labour na Kuna Kila aina ya kiwanda , hivyo ni rahisi kupata the needed materials there.
Mchina kufanya Nini ?
Mchina hajamwaga ugali baada ya MAREKANI kumwaga mboga, mchina amebeba ugali kaenda kutafuta mboga na anataka kula ugali peke yake bila kumgawia MAREKANI.
Nimeona namma Ali express, Alibaba, na mitandao mwingine ambayo situmie nimeona Wana tangaza kwa nguvu Sana huko kwenye social media juu ya bidhaa zao kwa Sasa.
Kinachochekesha ni pale influencers na brand ambassadors wa CHINA wanapo onekana kuanza ku expose bidhaa ambazo huwa Zina bandikwa nembo za made in AMERICA na kuaminiwa kuwa ni Bora kuliko za UCHINA.
watu wanaanza kuelezwa ukweli kwamba bidhaa husika ni zakichina Ila MAREKANI ndiye huzijumua na kumaliza kuandika nembo Kisha kiziuza kwa Bei ya juu Sana kwa watumiaji ambapo Bei huzidi zaidi ya Mara 100 ya Bei HALISI. (Ila bidhaa nyingi huzidi hata 100 % ya Bei HALISI)
Baada ya ku expose ujinga huo wa producers wa mchongo wa kimarekani , real producers now wwanakuwekea offer mezani...
Producers from China wanasema : ukitaka bidhaa husika mfano bidhaa za nguo na urembo za LV , Nike ,Levi's , Ralph Lauren ,Tommy ,Hilfiger ,Calvin Klein ,Under,Armour ,Guess ,Supreme ,Abercrombie & Fitch , American, Eagle Outfitters
, Hollister Co. , The North Face , Gap , Balenciaga na Adidas
UKITAKA BIDHAA ZA HAWA JAMAA AINA ZOTE KAMA ZILIVYO SOKONI watakusafirishia bure Hadi MAREKANI, na watalipia import fee na tax zote wenyewe Kisha wewe utapata bidhaa OG zenye mark ya made in America as usual ... Kasoro nembo ambazo zile huwekwa na kampuni husika
This means MAREKANI inaenda kupoteza Pato kubwa Sana la kizandiki na kiwizi lililokuwa likiipata from UCHINA.
na China hapotezi kitu Bali ana gain umaarifu kwa WEREDI wake.
😁🙏😁.
round kick
Eli Cohen meza imepinduka mchina hajajipiga Pini Ila MAREKANI ndo kajipiga Pini mze.
JAMUHURI YA WATU WA UCHINA ????
KAZI IENDELEEEE. 🙏🙏🙏.
Ila kwa sisi Tanzania hapa tufanye NNE kwanza .. Ila ikifeli CHADEMA wamejiua....
Tukimaliza siasa uchwara zetu tutageukia haya mengine
Mkuu unaishi sayari ya Mars?Hilo Joto kali unalolisema ni kwa Afrika sio China
Trump anatakuwa kuwa kama Gorbachov alivyoandaliwa na hatimaye akaizamisha USSR, Dunia inaenda kwa kasi, huwa inaanza kama kama utani.Trump ni kiazi kwelikweli. Ni kielelezo kuwa kuna wazungu mazuzu.
Naamini unaposema dunia unamaanisha vijiwe vyetu vya mtaani.Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa hazizalishwi MAREKANI
population ya marekani haiwezi kuwa sawa na africa sababu usa poluation iko around 340 millions wakati africa kwa ujumla wake tuko around 1.39 billionKiongozi MAREKANI inaukubwa karibia sawa na Africa kiujumla. (NNB KARIBIA SAWA)
.
Population yake na pia vivyo hivyo .. na kingine sisi tu anunua bidhaa cheap Sana. MAREKANI ananunua bidhaa zenye thamani kubwa a lot more than us.
Huyaelewi mambo haya kiundani.
Nikupe shule kidogo:
1. China ndiyo inayoongoza Duniani kwa kuwa na makampuni mengi ya kigeni, hasa toka Ulaya na America.
2. Makampuni mengi ya kigeni yaliyopo China yanatengenezea bidhaa nchini China kisha huzisafirisha kwenda kuuza kwenye mataifa yao (kama ulivyosema, labour nchini China ni cheap), na pia nyingine huziuza bidhaa hizo ndani ya China (China ina soko kubwa, na wachina wengi wenye uwezo kifedha huwa hawataki kununua bidhaa zinazotengenezwa na wachina wenzao kwa sababu ya ubora kuwa chini).
3. China wakati wote imekuwa inahangaika kushawishi makampuni ya Ulaya na America kuwekeza nchini China ili kuweza ku-penetrate masoko ya America na Ulaya, jambo ambalo ni gumu kwa kampuni zinazomilikiwa na wachina wenyewe kufanikiwa, kwa sababu ya ubora duni wa bidhaa zao.
4. Makampuni yanayomilikiwa na wachina wenyewe, soko lake kubwa ni mataifa yasiyozingatia ubora, hasa Africa na baadhi ya nchi za Asia.
5. Siku za karibuni, Serikali ya China imekuwa ikijitahidi kuyanunua kwa gharama kubwa sana makampuni ya wazungu yaliyopo China kwani yale tayari yana majina na yanazingatia viwango, lengo ni kutaka siku moja makamouni hayo ya kigeni yawe yanamilikiwa na China yenyewe.
6. Anachokifanya Trump ni kulazimisha makampuni ya Ulaya na America yaliyopo China ambayo tegemeo kubwa la soko ni USA, yaondoke China. Hilo angefanikiwa zaidi kama angeshirikiana na Ulaya. Yakiondoka masoko ya Ulaya na America, China itatetereka sana kwa sababu soko la Africa na Asia ni dogo sana katika thamani ya mauzo.
Kwa vyovyote vile, haya masuala ya tarrifs yataiathiri China na US.
Trump ni mtu mwenye papara na asiyefikiri vya kutosha kama lissu, na bado anafikiri kujiongezea muda ili kuiua kabisa marekani.(huko baadae sana huenda marekani ikapigana vita na uchina kulinda utukufu wake)
Asante sana mkuu kwa upendo wa AgapeKaribu Lushoto uje tule Pasaka na pia kusherehekea Ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Marekani ananunua zile high end quality!Mkuu kila siku nasikia soko kubwa la bidhaa za mchina ni marekani, na nikiangalia nchi za afrika karibia 90% ya bidhaa tunazotumia ni made in china. Kuna Haja gani ya mchina kung'ang'ania solo la marekani?
Hapo sijui Tundu Lissu ameingiaje! Lakini kuhusu Trump itoshe tu kusema ni kibaraka atumikaye kuisambaratisha Marekani... Soon zile 50 zitasambaratika!Trump ni mtu mwenye papara na asiyefikiri vya kutosha kama lissu, na bado anafikiri kujiongezea muda ili kuiua kabisa marekani.(huko baadae sana huenda marekani ikapigana vita na uchina kulinda utukufu wake)