Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Sasa kama kashinda vita ya kiuchumi kwanini hafungui viwanda Tanzania, kwanini anafungua viwanda vya kuchezesha kamari huku mitaani. Tunahitaji vitendo sio maneno.
Umewahi kutembelea mkoa wa Pwani? Viwanda vingi hapo ni investment ya Wachina
Na bado wamepewa eneo la Kwala mkoa wa Pwani lenye ekari 2500 kwa ujenzi wa viwanda
Mradi unaitwa Sino-Tan Modern Industrial Park viwanda zaidi ya 200 vitajengwa hapo na kuzalisha ajira zaidi ya 500,000
Hakuna taifa linaloifikia China kwa kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya viwanda
Wachina wana viwanda vingi sehemu mbalimbali hapa Tz, tutajie viwanda vya wazungu waliowekeza Tz