China ataiua US kwa presha, katangaza Kirin 9006C(chip) ya 5nm tech

Michina ni mchina tu hata atengeneze nini ni fake fake tu,atamuua USkwa lipi?
Hizo vitu ni kwa ajili ya dunia ya 3 hasa Africa sio soko kimataifa
Wewe ndiye wasema kwasababu tumezoea nunua products daraja la mwisho.
BYD ilichofanya ulaya hadi magari yao ya umeme yamekosa soko hadi wameamua kuweka kodi kubwa kwa magari ya china. Jana ufaransa kaanza kwa kuyawekea kodi kubwa. Na hii si kwa BYD hata magari ya tesla ambayo yanazalishwa kiwanda cha china
 
Hakuna aliyesema anaikimbiz kwa tech tunachosema hapa ni kwamba vikwazo vya marekani havifanyi kasi anazidi kuipa presha kuwa anaweza kuendelea kuunda vitu bila kuitegemea
 
Mbona Red Star ni Linux?
Red Star ni tawi la Linux ambalo limezaa OS kama Ubuntu, Kali na wengine.
Hapo bado yupo kwenye Linux.
Ni sawa na Harmony inayotumia application za android.
Ndio maana nakwambua kuna vitu huvielewi.
Hata android ni linux based OS.
And by the way muunzi wa linux ni mufinnish wala si mmarekani.
Mac Os ni unix based.
Hebu jaribu kusoma vitu na kuvielewa
 
Sasa researchers wakubwa ktk kampuni za Wamarekani ni Watu wenye asili ya China. What do you expect?

Wanafunzi wa kichina wako busy na math na Science wakati wale wa kimarekani wako busy kuparty.

Marekani bila kuimport vichwa na talents kutoka sehemu mbalimbali duniani hamna kitu!
 

Huawei ni sehem ndogo tu ya over glorified local tech. China ana AI muda mrefu sana, tena ameanza kuitumia waay back. anaunda silaha zake for a while now
Imeitisha america ?
Yes yuko kwenye good track but not yet there
 
Huawei ni sehem ndogo tu ya over glorified local tech. China ana AI muda mrefu sana, tena ameanza kuitumia waay back. anaunda silaha zake for a while now
Imeitisha america ?
Yes yuko kwenye good track but not yet there
Najua mkuu na hofu ni kwamba hata hizo soc zinaundwa na SMIC. Sasa hajafika huko ila kiwewe ni kwamba walitegemea walau ili aweze kutengeneza soc zenye uwezo wa miaka mitatu iliyopita ingewachukua ahdi 2029, lakini hata hakuchukua miaka 3. Sasa nini kitaenda kutokea baada ya hapa ndio shida ilipo.
Ndio maana anazidi walima ban hapa ameuzuia ile kampuni ASML isiwauzie mashine za kuundia processors.
Wakati huo huo Canon which is a Japanese company wamesema wana tech mpya kufanya hivyo pasipo kutumia tech ya photolithography.
Technology iko kasi sana, one mistake many goals.
 
O.S sio just piece of software tu ni Platform pia
Android na IOS tayari wana ecosystems imara ya tools & developers so ngumu au haina ulazima wa kushindana nao
 
Achana nae huyo, anajifanya mjuaji kumbe hajui kitu, umejitahidi kumuelewesha.
 
Kwenye sakata la Marekani na Huawei bado Huawei ndio loser

Sanction za Mmarekani zimeiathiri sana Huawei, haijalishi Huawei ataendelea kutengeneza product bora au la.

Huwezi shindana na Mmarekani
Huawei in short time ni loser lakini in the long run ameanza kurudi kwa kasi sana na bila wasiwasi maana anajitegemea. And by the way China ban za Huawei aliichukulia kama shambulio kwa nchi si kampuni ndio maana wamewekeza sana katika utafiti na kujitegemea.
Break through alizofanya zinaonyesha coming yake kwa kasi.
 
Ambavyo una amini mchina hana hayo mambo manne?
 
Ata kuja zuzu mmoja wa Mbagala akuambie eti China wanacopy technology na kutengeneza vitu feki
 
Hata gari za umeme anafanya maajabu, aisee tuanzeni kujifunza kichina hali ni mbaya sana.
Umeona test ya Nio ya CEO wake jana. Gari lao la umeme la ET7 limeenda kilomita 1000 bila kuwa recharged na likabaki na kachaji kidogo. Yani unaweza toka Dar hadi Mwanza bila kuchaji na gari lenyewe sijui ilikuwa sedan, crossover au SUV. Sio truck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…