Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu acha kabisaLimeundwa na BYD, hii kampuni sasa kwenye EVs inatisha.
Japokuwa naona kama wameclone range.
Wako mbali na wamepambana haswaAta kuja zuzu mmoja wa Mbagala akuambie eti China wanacopy technology na kutengeneza vitu feki
Unalosema ni sawa na kulalamika kwamba Ronaldo au Messi wanajua kucheza vizuri ndio maana wana mataji mengi.Sasa researchers wakubwa ktk kampuni za Wamarekani ni Watu wenye asili ya China. What do you expect?
Wanafunzi wa kichina wako busy na math na Science wakati wale wa kimarekani wako busy kuparty.
Marekani bila kuimport vichwa na talents kutoka sehemu mbalimbali duniani hamna kitu!
Balaa halafu ukilinganisha na magari mengine, bei yake iko chini. Sasa umoja wa ulaya umeamua kuweka kodi kubw kwa magari yote yanayozalishwa china maana yanateka soko huko. Jana ufaransa katangaza kodi mpya kwa gari zote zinazozalishwa china ikiwemo gari za tesla zinazozalishwa chinaMkuu acha kabisa
Kuiga na kuongeza mengine ni sawa kwa technology maana hata wao wazungu wakikupatia hawakuachi
Rejea Concordski vs Concorde hata Concorde waliiba
Ila hiyo gari balaa inaenda upande upande kama Crab π¦
Concorde hawakuiba, walioiba ni Warusi na Tu-144 yao ndio maana ikaitwa Concordski baada ya jina Concorde kuwepo.Mkuu acha kabisa
Kuiga na kuongeza mengine ni sawa kwa technology maana hata wao wazungu wakikupatia hawakuachi
Rejea Concordski vs Concorde hata Concorde waliiba
Ila hiyo gari balaa inaenda upande upande kama Crab π¦
Lakini kwa maelezo hii Tu-144 ilitangula kuruja kabla ya concord.Concorde hawakuiba, walioiba ni Warusi na Tu-144 yao ndio maana ikaitwa Concordski baada ya jina Concorde kuwepo.
Yani huyu aanzishe Adidas, na huyu alete Adidos alafu useme Adidos kaibiwa. Kama ameibiwa si jina angeanzisha yeye.
Hawa walianza pamoja na wakakuwa pamoja.Ulichoandika hauna tofauti na mchina mwenyewe.
Wenzake wanajaribu hata wakianguka ila kuna OS walitengeneza na zikawa maarufu na zikapata watumiaji wengi duniani ila yeye hakuna OS aliyoiweka sokoni ikafanikiwa.
IOS anakimbizana na Android, kwanini yeye hakuwaza hilo na hakuweka mfumo wa Android?
Concorde hawakuiba, walioiba ni Warusi na Tu-144 yao ndio maana ikaitwa Concordski baada ya jina Concorde kuwepo.
Yani huyu aanzishe Adidas, na huyu alete Adidos alafu useme Adidos kaibiwa. Kama ameibiwa si jina angeanzisha yeye.
Kuna mengi sana yameongelewa kuhusu hii ndegeConcorde hawakuiba, walioiba ni Warusi na Tu-144 yao ndio maana ikaitwa Concordski baada ya jina Concorde kuwepo.
Yani huyu aanzishe Adidas, na huyu alete Adidos alafu useme Adidos kaibiwa. Kama ameibiwa si jina angeanzisha yeye.
Kumbuka pia inategemea na biashara yenyewe. Kumbuka mpaka akidhi vigezo ashawishi soko duniani si jambo la siku moja. Ila kwa Africa,ni sawa tu zikija tutanunua.Ni kwamba hufuatilii, huawei anayo harmony Os ina run kwenye simu, TV, na gadgets nyingine hadi saa. Hizi simu za Huawei now zina harmony OS.
Mchina anazo OS kibao kwa ajili ya vifaa vingine kama mashines ambazo huwezi kujua kwakuwa huinteract navyo kama unavyofanya kwenye computer.
Shida si kuunda OS, shida ni kuunda OS ukashawishiwi developers watengeneze app kwa ajili ya hiyo OS. Na ndio maana nimekwambia windows phone ilikufa kwa sababu ya kukosa apps na watu hilo likawafanya wasiitumie. Windows phone haikuwa hata na instagram wakati insta ilikuwa kwenye peak.
Tatizo la mchina majina yake ya kiboya, atumie Generic names za kizungu tu!Kuna gari SUV linaitwa Yang Wang U8 hebu iangalieni hiyo maana imefunika mpaka Range na Mercedes suv na hata Hammer
Unaelewa unachokiongea kweli?US zama zake zimekwisha.
Hahaha au kama ya toyota. Mara Nadia, mara passo, mara starlet, mara corola mchina atatuletea BYD AshaTatizo la mchina majina yake ya kiboya, atumie Generic names za kizungu tu!
π π€£ Huwezi amini hapa uk walikuwa wanatamka Hyundai tofauti na linavyotamkwa kwaoTatizo la mchina majina yake ya kiboya, atumie Generic names za kizungu tu!
Sielewi. Nifahamishe naongea nini?Unaelewa unachokiongea kweli?
Hii ndo vita tunayoitakaHuawei anazidi kuishangaza dunia na kuonyesha kuwa sanctions hazifanyi kazi.
Baada ya kuwashangaza na simu zenye socks alizounda mwenyewe na ambazo demand ni kubwa kuliko hata uzalishaji wake kitu ambacho kilifanya US azidi kukaza vikwazo na watu wabaki midomo wazi maana walitegemea kwa nguvu zake mwenyewe itamchukua labda hadi 2029, sasa juzi katangaza ujio wa Kirin 9006C yenye 5nm technology.
US atajuta kwa sanctions kwa sababu alichojaribu kuzuia ni kama ametia petrol kwenye moto. Sanctions hazifanyi kazi kwa China.
View attachment 2845584
Nilivyoiona tu nikasema daa kama RangeLimeundwa na BYD, hii kampuni sasa kwenye EVs inatisha.
Japokuwa naona kama wameclone range.
Hata mimi nikidaka ela nikinunua EV ni from chinaNilivyoiona tu nikasema daa kama Range
Ngapi bei kwa sasa na pro jeNasubilia Xiaomi note 12 ishuke bei
Tatizo letu mawakala wanaleta bidhaa toka China bila spares zakeHata mimi nikidaka ela nikinunua EV ni from china