China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

Nataka vifaa vidogovidogo kama Empty CD, DVD External drive, Flash disk, wino wa photocopy. Kwa vifaa hivi nafikiri naweza nunua alibaba zen nikasafirisha kwa DHL. Mtaji ni Tsh 1M
 

Mkuu nimependa sana maelezo yako...blessings!

Vipi kuhusu soko la ASALI huko likoje? Naweza ku export? Bei kwa lita? Any advice on this?
Natanguliza shukrani.
 

Mkuu EMI hii hoja yako ni nzuri sana...nitakuPM for more information about this.
Blessings!
 
Last edited by a moderator:
Nimejifunza vingi sana kupitia hii Jf na naendelea kujua mengi .
Asante kwa moyo wa kutoa elimu ili nawengine wanufaike
 

Chief ubarikiwe sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimependa sana maelezo yako...blessings!

Vipi kuhusu soko la ASALI huko likoje? Naweza ku export? Bei kwa lita? Any advice on this?
Natanguliza shukrani.


Siko la asali sina details za soko lake hapa China.

Natoa wito kwa wengine wanaotaka ku export bidhaa zao nje ya nchi wanitumie majina ya vitu hivyo kisha nitavituma kwa wahusika
 
Kipilipili......very very useful thread, remain blessed dear.
 
Last edited by a moderator:

Kipilipili tafadhali naomba namba yako nataka nikuulizie
 

kipilipili, hongera sana, makala yako ni nzuri sana, ila hebu zungumza kidogo na opportunities za ku-export. website zipi mtu anaweza kutembelea akapata taarifa hizo?
 
Last edited by a moderator:
Natamani kama tungepata watanzania kumi kama wewe!!!hngera sana sana,huwezi amini my cusine ndo anaanza trip ya china kwa makala yako amebadili mwelekeo wa biashara toka nguo za kike hadi mauwa na phone gadgets na amekwenda tafta ordrs kwanza b4 asafirim!!thanx alot na hotel and other infos kuhusu usafirishaji na mengine!!!!!!
 
Mkuu asante sana, naomba kujua ni mjia gani hasa zinapatikana mashine za - artcutting, artdrawing ambazo kwa mjasiriamali wa kawaida anaejishughulisha na sign industries field..... nawasilisha...
 
ushauri kama huu nchi za wenzetu tulitakiwa tuulipie ila hapa tunapewa bureee. Asante Nyerere kutuletea ujamaa, asante JF kutuletea jukwaa na ubarikiwe mleta uzi na kizazi chako

Nilimwendea mtu 1 nikitaka msaada wa kuanza biashara ya ndizi za kupika. Duh, yule bwana alininanga kwa maneno na kunionesha kuwa thamani na kuwa niwaheshimu na kuwaona miungu watu waote waliotangulia katika biashara!

Huyu mtoa uzi kweli ni mkarimu na ameumbiwa moyo wa utu na kuwajali wengine. Mungu amsaidie zaidi maana inawezekana kuoitia yeye watu wengi wanaweza kutimiza malengo yao!
 
Nataka vifaa vidogovidogo kama Empty CD, DVD External drive, Flash disk, wino wa photocopy. Kwa vifaa hivi nafikiri naweza nunua alibaba zen nikasafirisha kwa DHL. Mtaji ni Tsh 1M

mkuu, siharibu biashara za wengine lakini kiuzoefu DHL wako ghali sana ,japokuwa ni wa uhakika. hebu fanya price comparison na makampuni mengine kama nilivyoorodhesha hapo chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…