Mkuu , huo mtaji wa 5000 USD( 5000X6.2 元= 31,000 元😉huo ni mtaji mkubwa tu na unaweza kufanya biashara kwa baadhi ya vitu ikiwa tu hiyo itakuwa ni nje ya nauli na pesa ya kujikimu.
BACK TO YOUR QN. Sina current price ya baadhi ya machines lakini unaweza kununua machine zifuatazo kwa mtaji wako:
1. Machine ya kutengeza bisi(popcorn )
2. Machine ya kutengeneza ice cream/ barafu
3. mashine ya kutengenezea juice mbalimbali(juicer). kama machungwa(ninayo MPYA ambayo haitumii umeme, ukihitaji tuwasiliane)
4. Mashine ya kukaangia chips(ninayo MPYA,ukihitaji tuwasiliane)
5. Mashine ya kutotolea vifaranga
6. Mashine ya kubania glasi za juice km take away(ninayo MPYA, ntafute kama unahitaji )
Nk. Wengine wataongezea
Ni PM namba yako