Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
- Thread starter
- #41
Umetisha sister.
Bado upo gz au bongo?
TZ............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetisha sister.
Bado upo gz au bongo?
TZ............
ni kweli tatizo biashara hii ya simu haitaji hivo alafu ukizingatia mtaji mdogo ela inatakiwa izunguke fasta,sema mbona wakinga nguo wao wanatuma kwa meli tu,sababu hao jamaa ndo nilikua nawapa sana simu maana wakija bongo wanakua hawana mizgo mizigo yao yote kwenye meliAhsante sana mkuu.
Ni kweli living cost za HK ziko juu mno kuanzia makazi hadi malazi.
Suala la usafiri linaumiza sana kichwa hasa ukizingatia jamaa wa pale "Njia panda ya ulaya"walivyo na "njaa". Pale hata uwe na laptop moja sometimes wanakukomalia hasa wakiiona ina upya kidogo...yani ni shida.
Kutokana na changamoto ya usafiri niliamua kushift na kununua bidhaa ambazo hata nikizitia kwenye meli mwezi zinakuwa bado ziko kwenye soko ,sio kama nguo ambazo ikipita mwezi ujue kariakoo waeza ukaziuza kama mtumba.
TZ............
Ahsante sana mkuu.

Safi sana Mkuu Kplpl
Nifahamishe kuhusu utaratibu wa VISA, kwa mfano niko nje ya TZ naweza pata VISA kupitia Ma-agent walioko TZ au China? au ni lazima nifike ubalozi.
Otherwise the thread is very useful and constructive; ni-inbox number yako mkuu
Nataka kujua gharama za nauli kwenda China na kirudi Tafadhali naomba msaada
Nataka kujua gharama za nauli kwenda China na kirudi Tafadhali naomba msaada
Huu ndio ujinga usiotakiwa kwenye thread kama hii, unatumia internet ni kwa nini usisearch bei za ticket za ndege? Kwa hili hapana huu ni uzembe uliopitiliza.
Mkuu nauli zinategemea season na pia unataka kusafiri lini. Kipindi cha high season kama june,july, august bei zinakuwa juu. Kama kwa mfano unatarajia kusafiri July basi ikifika april kata tiketi mapema . Mara nyingi kunakuwa na offer kwenye mashirika ya ndege kwa hiyo pendelea kutembelea website zao.
Pia nauli inategemea na shirika la ndege unalotaka kusafiria na pia daraja unalotaka kukaa.
Kwa wafanyabiashara wengi hutumia ethiopian airline kwa sababu huwa wanatoa kg nyingi kuliko wengine.
Pita kwa mawakala posta na kariakoo au search google kupata bei mbalimbali za nauli. Unaweza kutenga bajeti ya USD 900-1200 Kwa nauli kwa economy class
TZ............
Mkuu Watu8 tafadhali pita mtaa huu
Samahani mkuu nilichelewa kuja huku...
Naona mambo mengi umeyafafanua vizuri tu...
Kwa kuongezea naona watu wanauliza sana habari ya bei...
Ungeweka link ya mtandao wa made-in-china pale juu au alibaba huko wataona bei za jumla...