China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

Sijakataa bwashee ,China ni taifa kubwa tena lenye uchumi mkubwa duniani kuliko nchi zote sijasema atashindwa Bali nazungumzia changamoto ngumu atakazokumbana nazo
Kinachoweza kumfanya China ashinde ni kwa sababu Taiwan ni kisiwa hawana mipaka na Nchi za jirani japo kuvusha silaha nk
 
Mkuu jua China sio chato!!
 
Overall US ndiye ayaongoza dunia kwa tecnology.
 
Overall US ndiye ayaongoza dunia kwa tecnology.
Yes. Lakini jua pia, ikitokea vita, China ataweza tengeneza silaha nyingi zaidi na kwa muda mfupi na gharama ndogo kuliko US.

Ukiangalia man power ya China, na aina yao ya uongozi, wanaweza badilisha viwanda vingi na watu wengi kutengeza silaha na kujiunga na Jeshi.

Nadhani wateweza gonga copy mpaka za HIMARS za US [emoji12]. Tena kwa idadi kubwa na haraka zaidi.

Ndiyo maana nasema hela yangu na weka kwa mchina.
 
Hizo Mbwembwe na propaganda za USA, Taiwani itapigwa tu..Jana Biden kapewa onyo na Rais wa China
kwamba asichezee moto.
Well said, we fikiria kuna watu wengine they can't even read between the lines si hilo to vile vile ni argumentative by default!!

Mtu ana ambiwa kwamba Rais Biden na Rais Xi mazungumzo yao kwa njia ya simu yamechukuwa takribani saa mbili na nusu hivi - halafu Xi bila ya kumungunya maneno kamwambia Biden kwamba hasijaribu kuchezea moto linapo kuja swala la Taiwan, Xi alikuwa dead serious - ni wazi Biden alipata massage kwamba Wachina/Xi onyo lake hatanii hata kidogo.

Mtu anakuja na hoja hapa kwamba eti kwa kuwa US wana military base Taiwan kwa hiyo Uchina itaogopa, hivi hawa watu wanaijuwa vizuri Uchina au?? Sio kwamba Uchina hajawahi kupambana na USA face to face, waliwahi kupambana kwenye vita ya Korea mwanzoni mwa miaka ya hamsini, USA forces under Field Marshal McCathy command walikaribiana kabisa kuuteka mji wa Pyongyang; lakini,je,jeshi la Mao lilipo ingilia kati kulitokea nini? Jeshi la USA lilipata kipigo kikali likaridishwa nyuma mpaka 38 parallel yaani latitudo ya 38 kaskazini baada ya umoja wa mataifa kuwasihi wasitishe mapigano, Marshal McCathy alipata kiwewe na hasira na kuomba kibari kwa Rais Harry Truman ili aipige Uchina kwa mabom ya Nuclear ili kulipiza kisasi, Truman alipo mkatalia, basi McCathy kahamua kumfanyia insubordination Rais Truman mpaka Rais kufikia hatua ya kumfukuza kazi.
 
Hilo jina CHINA linatosha kujua nani wa ukweli ,nenda hata dukan kununua spea ukimwambia bidhaa fekfek atakuambia nikupe mchina?wazee wa makorokoro
 
Ulikuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…