China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

Pamoja na tambo zote hizi
1. Jeshi la China ndilo linalolinda ndani ya kisiwa hiki

2. Kiongozi wa Wataiwan wanaotaka kujitenga anaishi ukimbizini zaidi ya miaka 30 sasa

3. Ukitaka kusema uongo uwe umefanya utafiti kwanza maana hayo yote uliyoyasema hayapo hivyo. Kisiwa kipo chini ya China na hakuna majeshi ya kigeni huko ndani. Mwaka juzi walijaribu kuleta uasi wakadhibitiwa mpaka jumuiya ya Kimataifa ikalalama.
 
Kwa jinsi Biden alivyo dhaifu hiyo safari ya Pelosi kwenda Taiwan sitashangaa ikisitishwa
 
Kule mashariki, mtu anayeweza walau kupumua mbele yq US ktk eneo la Military ni Russia. China mwenyewe huwezi kumuweka meza moja na Mrusi eneo la Vita.

China ni wa kawaida tu mbele ya wababe kama US, India n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]india ni bora kuliko china kijeshi? huu ni upuuzi
 

Ndo maana jina lako msanii kweli we msanii eti Taiwan haina rais na inalindwa na China
Hii hapa habari ya tarehe 26.7.2022

SUAO, Taiwan, July 26 (Reuters) - Taiwan President Tsai Ing-wen boarded a naval warship on Tuesday for only the second time in her six years in office, where she lauded the military's determination to defend the island while overseeing its largest annual naval and air exercises.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]india ni bora kuliko china kijeshi? huu ni upuuzi
Chuplichupli hawawez kuwazid mashaolin.

Hata ukiangalia stail zao za kupigana ktk mapicha yao ambayo yanaakisi tamadun zao ktk mapambano chuplichupli hawajawah kuwa sirias kias cha kuwashinda mashaolin.
 

Kuna watu watakupinga jomba ila umeandika facts tupu
 
Km 175 mbona anapigwa kutokea china moja kwa moja haina haja ya kusogeza meli
 
Urusi alionekana bora ila cha ajabu sana akakimbizwa Kyiv
 
Na wewe unaichukulia poa sana US
Huyo USA atapigana na wangapi sasa,ukimbuke kikinuka kati ya USA na CHINA- obviously USA ata loose tu maana kakaliwa kooni na Russia,Irani & north Korea.Mbaya zaidi washirika wake UE sana hali mbaya za kiuchumi.
Huyo Japani unayemtegema lazima atamgeuka tu maana wakikumbuka Wananchi wake wamepata vilema sababu ya USA
 
Mtoa mada hebu jiulize kwa nini huu mgogoro wa China na Taiwani imeibuka wakati hui,USA anatafutwa wanamtegeshea ajae watu wamu delete kama superpower.
 

Japan hawezi kuingia vitan alipata somo kubwa sana.
 
Km 175 mbona anapigwa kutokea china moja kwa moja haina haja ya kusogeza meli
Mbona Russia km hizohizo hakupiga toka mbali ,vita tofaut na kupiga mbali kuna kuingia ground,maana ujue kuna ant-missile pale,na antiaircraft missiles ,hivyo mbinu hiyo siyo reliable sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…