China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

Naamini china ashindwi kitu akitaka anaisambalatisha Taiwan na washiliki wake wote
 
Mwaka 1950 cyo mwaka 2022
US anazidi kupoteana hatakama mnaumia ila hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US can fight many wars on different fronts
 
History ya vita ya Korea imekupita kushoto
 
Wako wapi wale pro-america?

It's official, Marekani imeiogopa China.

Nancy Pelosi haendi Taiwan. Cheki tweet yake. Atapenda Singapore, Malaysia, South Korea na Japan tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Vurugu ilionyesha China siku ngapi hizi si za kitoto.

Sasa sijui wana waakikishia vipi usalama wakati vitisho vya China vimewafanya wabadili njia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani imekuaje mkuu. Maana siku ya ijumaa china walipeleka air defense zakutosha na vifaru vingi sana eneo la fujian linalo karibiana na Taiwan na reporter wa GLOBAL TIMES ya China bwana Hu Xijin akasema PLA wataitungua ndege ya spika wa marekani endapo tu itaingia kwenye anga la China [ Taiwan ] kwa hiyo unataka kusema safari imepigwa u-turn kutokana na tambo hizo za PLA😀
 
Vita ya Urusi haijakaa vyema, China walikuwa washasema liwalo na liwe... Ila ngoja tuone, huwa kuna emergency trips
 
Jambo la kwanza, China walifunga Air space ya Taiwan kwa kisingizio cha mazoezi ya kivita kutumia silaha za moto.

Hivyo ina maanisha, ndege yoyote itakayo pita kwenye anga ya Taiwan, ina weza tunguliwa na kwa kuwa walisha tangaza na kutoa tahadhari huwezi kuwa laumu.

Then wakaanza mazoezi yao ya kurusha makombora mfululizo mpaka hivi sasa kuelekea baharini kama mazoezi.

Yaani ilikuwa ni shughuli. Alafu repoti zinaonyesha wachina wengi wanataka vita na Marekani. Wanaona Marekani imewakosea heshima muda mrefu sana na mara nyingi wanaleta dharau kwa wachina.
 
Ni kweli hii ishu ya Taiwan na China ninataka kuona wale wanao issuport Ukraine dhidi ya Russia waisupport China maana malalamiko yao siku zote wanasema wao Wana pinga maeneo ndani ya Ukraine kujitenga na kujitangazia Uhuru je hapa watawasupport China kwenye kulinda eneo lao la Taiwan lisijitangazie Uhuru ba kuwa na mamlaka binafsi ? Ninataka kuona unafki wao hapa. Marekani mda mwingine huwa ni mpumbavu na mjinga Sana anapoona uchumi wake unakimbizwa na taifa lengine wivu na chiku vinamjaa kinachobaki ni yeye kuchochea vita baina yao au yeye mwenyewe na washirika wake kuishambulia hiyo nchi kwa vita Ila kwa china Moto utawaka
 
Juzi kati marekani ameanza kulalamika kuwa jeshi la china ni hatari kwa usalama wa marekani baada ya mchina kuwakorogea mawasiliano baina yao hapo taiwan
 
Putin alisema wiki iliyo pita. Marekani hawana mbinu wala mikakati ya kujenga uchumi.

Utajiri wao unatokana na kuiba, kupora na kufyonza rasilimali za nchi nyingine.

Nakubaliana na hili kabisa.
 
Putin alisema wiki iliyo pita. Marekani hawana mbinu wala mikakati ya kujenga uchumi.

Utajiri wao unatokana na kuiba, kupora na kufyonza rasilimali za nchi nyingine.

Nakubaliana na hili kabisa.
Nadhani mataifa ya mataifa ya Asia yapo vizuri kwenye kujenga uchumi na teknolojia bila kusababisha Vita kwa mataifa mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…