Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakataa bwashee ,China ni taifa kubwa tena lenye uchumi mkubwa duniani kuliko nchi zote sijasema atashindwa Bali nazungumzia changamoto ngumu atakazokumbana nazoMmmh hapana! Ninataka kumaanisha kuwa yaani China isionekane ya kinyonge mzee kwa dunia ya sasa
Ni base gani ya marekani ipo Taiwan ? Na ipo Taiwan sehemu gani?🤔China kwanza wamechelewa sana kuivamia Taiwan ,wamezembea hadi US kajenga base yake pale,US ana marine combat's zaid ya 20,000 ,ndege za kivita zaid ya 200 ,manowari ,pia ana base nyingine kisiwa cha japani ambacho ni karibu sana na Taiwan ,yani kiufupi Taiwani wamejiweka sawa.
Changamoto nyingine ni kwamba kisiwa hicho kipo umbali wa km 175 kutoka China, hivyo China akitaka kukivamia itabidi awe na meli kubwa zenye uwezo wa kubeba vifaa na zana za vita ,na hiz meli zitakua zinatembea taratibu hii itakua rahisi kushambuliwa na morden ant-ship messile ,pia Taiwan wameshatega mabomu ya kwenye maji kuzunguka kisiwa kizima ,mabomu haya yaliyotengenezewa UK yana uwezo wa kuharibu hadi submarine za kisasa.
Changamoto nyingine kuna kakisiwa kadogo ka Taiwan ambacho kiko umbali wa km 70 toka China haka kakisiwa kamejazwa wanajeshi na zana za kivita na ulinzi mkali hivyo kabla China hajafika Taiwan kwenyewe itamgharimu sana hapa.
Changamoto nyingine ni geography ya hichi kisiwa cha Taiwan aisee mji na mji kumetengwa na misitu mikubwa na mabonde mengi hii nayo. changamoto.
Changamoto nyingine ni jinsi ya kufanya uvamizi wa kushtukiza,unjua kwenye vita ukitaka ushindi wa asubuhi kamata anga la mpinzani aisee kwa Taiwan siyo rahisi maana anga lake linaendeshwa kisasa ,sawa na anga la France au German ,siyo choka mbaya Ukraine wasio na hata rada za maana,
Lingine ni kuwa hichi kisiwa sio choka mbaya kama Ukraine wao wamenunua ndege za kisasa,technology zilizoenda shule ,ni wataalamu wa udukuz,wakisaidiwa na japani na US.
Changamoto ya mwisho ni kwamba kisiwa hichi kimeingia makubaliano na US ya kulindana hivyo hapa US anaingia direct, siyo kule kwa zelesky anatumiwa kifaa kimojakimoja tena kwa tabu.
Sitegemei kama China wataivamia Taiwan ,itaishia kupiga mikwara tuu.
Mama anatinga huko next week ngoja tuone ,yajayo yanafurahisha
China aisaidie Russia katika nini ? 🤔Biti tuu hilo mama anaenda na hawamfany kitu,China alipigwa biti moja tu ole wake aisaidie Russia mpaka leo mkia makalion ,tuone biti lake,US anawaona kama walevi wa madaraka tuu. Mtu ukikaa sana madarakani unapungukiwa akili
Vita ni zaidi ya hayo uliyoandika mzee,China kwanza wamechelewa sana kuivamia Taiwan ,wamezembea hadi US kajenga base yake pale,US ana marine combat's zaid ya 20,000 ,ndege za kivita zaid ya 200 ,manowari ,pia ana base nyingine kisiwa cha japani ambacho ni karibu sana na Taiwan ,yani kiufupi Taiwani wamejiweka sawa.
Changamoto nyingine ni kwamba kisiwa hicho kipo umbali wa km 175 kutoka China, hivyo China akitaka kukivamia itabidi awe na meli kubwa zenye uwezo wa kubeba vifaa na zana za vita ,na hiz meli zitakua zinatembea taratibu hii itakua rahisi kushambuliwa na morden ant-ship messile ,pia Taiwan wameshatega mabomu ya kwenye maji kuzunguka kisiwa kizima ,mabomu haya yaliyotengenezewa UK yana uwezo wa kuharibu hadi submarine za kisasa.
Changamoto nyingine kuna kakisiwa kadogo ka Taiwan ambacho kiko umbali wa km 70 toka China haka kakisiwa kamejazwa wanajeshi na zana za kivita na ulinzi mkali hivyo kabla China hajafika Taiwan kwenyewe itamgharimu sana hapa.
Changamoto nyingine ni geography ya hichi kisiwa cha Taiwan aisee mji na mji kumetengwa na misitu mikubwa na mabonde mengi hii nayo. changamoto.
Changamoto nyingine ni jinsi ya kufanya uvamizi wa kushtukiza,unjua kwenye vita ukitaka ushindi wa asubuhi kamata anga la mpinzani aisee kwa Taiwan siyo rahisi maana anga lake linaendeshwa kisasa ,sawa na anga la France au German ,siyo choka mbaya Ukraine wasio na hata rada za maana,
Lingine ni kuwa hichi kisiwa sio choka mbaya kama Ukraine wao wamenunua ndege za kisasa,technology zilizoenda shule ,ni wataalamu wa udukuz,wakisaidiwa na japani na US.
Changamoto ya mwisho ni kwamba kisiwa hichi kimeingia makubaliano na US ya kulindana hivyo hapa US anaingia direct, siyo kule kwa zelesky anatumiwa kifaa kimojakimoja tena kwa tabu.
Sitegemei kama China wataivamia Taiwan ,itaishia kupiga mikwara tuu.
Mama anatinga huko next week ngoja tuone ,yajayo yanafurahisha
Wewe ndio umeongea kisomi zaidi . heko kwako👍Napingana na wewe kabisa.
Wapi umepata hiyo habari kuwa kuna kambi ya jeshi ya Marekani Taiwan na kuwa kuna wanajeshi wa Marekani 20,000?
Hakuna kambi ya jeshi ya Marekani Taiwan. Kuna wanajeshi 31 tu wa Marekani Taiwan. Waliongezeka mwaka jana toka 20.
Na sababu ya Marekani kutaka Taiwan isiwe sehemu ya China ni hili iweze kuweka base pale.
Na sababu pekee Marekani inaitetea Taiwan ni ili kuibana China na kuinyima access ya bahari ili kuidhibiti kiuchumi. Hakuna lingine.
Ukiangalia kwenye ramani, hapo Taiwan ndiyo sehemu pekee iliyobaki ambayo China ina control na kupitisha mizigo yake. Maana upande mwingine ni South Korea na Japan, upande mwingine ni Philippines na visiwa vyake. Taiwan ipo katikati.
Pia ndiyo sababu hiyohiyo Marekani inataka Hong Kong ijitenge Na China. Kwa kuwa ikitoka ina maana Guangzhou litakuwa hatarini kushuka sana kiuchumi.
Hakuna sijui kuitafutia uhuru Taiwan wala nini. Ni propaganda za kipuuzi tu.
Wabongo tutumie muda japo kuidogo kufungua ramani ili uweze kuelewa haya mambo. View attachment 2307744
We nawe ,eti kuna wanajeshi 20 ,ila hakuna Base, nenda kachimbe zaid mzee ,base ziko mbili ambazo zinaendeshwa na base kubwa iliyo kisiwa cha Japan kinaitwa Okinawa, walianza na wanajeshi 39 sasa hivi ni zaid ya 2,0000 kaa na matango pori yakoNapingana na wewe kabisa.
Wapi umepata hiyo habari kuwa kuna kambi ya jeshi ya Marekani Taiwan na kuwa kuna wanajeshi wa Marekani 20,000?
Hakuna kambi ya jeshi ya Marekani Taiwan. Kuna wanajeshi 31 tu wa Marekani Taiwan. Waliongezeka mwaka jana toka 20.
Na sababu ya Marekani kutaka Taiwan isiwe sehemu ya China ni hili iweze kuweka base pale.
Na sababu pekee Marekani inaitetea Taiwan ni ili kuibana China na kuinyima access ya bahari ili kuidhibiti kiuchumi. Hakuna lingine.
Ukiangalia kwenye ramani, hapo Taiwan ndiyo sehemu pekee iliyobaki ambayo China ina control na kupitisha mizigo yake. Maana upande mwingine ni South Korea na Japan, upande mwingine ni Philippines na visiwa vyake. Taiwan ipo katikati.
Pia ndiyo sababu hiyohiyo Marekani inataka Hong Kong ijitenge Na China. Kwa kuwa ikitoka ina maana Guangzhou litakuwa hatarini kushuka sana kiuchumi.
Hakuna sijui kuitafutia uhuru Taiwan wala nini. Ni propaganda za kipuuzi tu.
Wabongo tutumie muda japo kuidogo kufungua ramani ili uweze kuelewa haya mambo. View attachment 2307744
Ila haya ni ya muhimu mzeeVita ni zaidi ya hayo uliyoandika mzee,
Ok, tutege masikioMbona safar IPO babu
Kisomi wapi matango pori hayo ,eti marekani ana wanajeshi 20, tena Taiwan ,ni mjinga tuu ataamin ,Tanzania hakuna base ila wanajeshi wa marekani monduli wako zaid ya 20Wewe ndio umeongea kisomi zaidi . heko kwako👍
Haujajibu maswali yangu niliyokuulizaKisomi wapi matango pori hayo ,eti marekani ana wanajeshi 20, tena Taiwan ,ni mjinga tuu ataamin ,Tanzania hakuna base ila wanajeshi wa marekani monduli wako zaid ya 20
Halafu hako kanorth korea ndo kanamtishia USA jamani....tuwe wapole tuNapingana na wewe kabisa.
Wapi umepata hiyo habari kuwa kuna kambi ya jeshi ya Marekani Taiwan na kuwa kuna wanajeshi wa Marekani 20,000?
Hakuna kambi ya jeshi ya Marekani Taiwan. Kuna wanajeshi 31 tu wa Marekani Taiwan. Waliongezeka mwaka jana toka 20.
Na sababu ya Marekani kutaka Taiwan isiwe sehemu ya China ni hili iweze kuweka base pale.
Na sababu pekee Marekani inaitetea Taiwan ni ili kuibana China na kuinyima access ya bahari ili kuidhibiti kiuchumi. Hakuna lingine.
Ukiangalia kwenye ramani, hapo Taiwan ndiyo sehemu pekee iliyobaki ambayo China ina control na kupitisha mizigo yake. Maana upande mwingine ni South Korea na Japan, upande mwingine ni Philippines na visiwa vyake. Taiwan ipo katikati.
Pia ndiyo sababu hiyohiyo Marekani inataka Hong Kong ijitenge Na China. Kwa kuwa ikitoka ina maana Guangzhou litakuwa hatarini kushuka sana kiuchumi.
Hakuna sijui kuitafutia uhuru Taiwan wala nini. Ni propaganda za kipuuzi tu.
Wabongo tutumie muda japo kuidogo kufungua ramani ili uweze kuelewa haya mambo. View attachment 2307744
mmarekani haungwi mkono na waislam wengi kote dunianiChina sio wa kitoto hata kidogo yaani hata
Sina huo mda hata ukijibiwa hutaamini maana una ushabikiHaujajibu maswali yangu niliyokuuliza
Ni ushabiki gani niliyo uonesha kwenye maswali yangu?🤔Sina huo mda hata ukijibiwa hutaamini maana una ushabiki
Leta link acha propaganda na story za vijiweni kijana. Leta link inayosema kuna kambi ya jeshi ya Marekani Taiwan na kuna wanajeshi 20,000 wa Marekani.We nawe ,eti kuna wanajeshi 20 ,ila hakuna Base, nenda kachimbe zaid mzee ,base ziko mbili ambazo zinaendeshwa na base kubwa iliyo kisiwa cha Japan kinaitwa Okinawa, walianza na wanajeshi 39 sasa hivi ni zaid ya 2,0000 kaa na matango pori yako
www.voanews.com
Endelea kutoa somo kwa hawa vijana wa humu .Leta link acha propaganda na story za vijiweni kijana. Leta link inayosema kuna kambi ya jeshi ya Marekani Taiwan na kuna wanajeshi 20,000 wa Marekani.
Embu waza hili kidogo, yaani China waruhusu Marekani wajenge kambi na kuwa na wanajeshi 20,000 Taiwan alafu waje kupiga kelele na kutishia vita kisa Speaker wa Bunge la Marekani anataka kutembelea Taiwan? Inaingia akilini kweli hiyo.
Mimi nakupa hizi link kudhibitisha kuwa kuna wanajeshi 31 tu wa Marekani Taiwan. Unaweza google we mwenyewe ujionee. Kawa danganye vijiweni kule siyo hapa.
![]()
US Nearly Doubled Military Personnel Stationed in Taiwan This Year
Although US troop numbers are in the low double digits, experts say the news sends a strong signal to Beijingwww.voanews.com
![]()
Does America have troops in Taiwan?
Having left in 1979, America is quietly giving the island more supportwww.economist.com