China kazi anayo dhidi ya Mmarekani, Biden aweka vikwazo maradufu

Mfumo ni ule ule tu kama CCM. Hakunaga haki kwenye vita vya maslahi ya kiuchumi.

Mnataka tume huru ya uchaguzi huru na wa haki jina la tume limeeditiwa 😂
 
china aangalie tu nchi zingine za kuuza, kama ulaya, africa, uarabuni, south america na asia.
 
Mkuu kuna sehemu Babu amesema kuwa Marekani anataka kuja kuongoza kwenye uzalishaji wa hizo bidhaa?
 
WWaafrica hawaendi Mpaka Fimbo na Viboko Na Viongozi Wao ndo Mambumbumbu Kabisa Mtu akishapata Hela anawaza kuongeza Mke Tuu
Inawezekana wewe ukikabidhiwa nchi hali ikawa mbaya zaidi ya hii.
Ukumbuke viongozi wetu ni zao la jamii yetu, nawe ni mwana jamii kwahiyo huna tofauti kubwa Sana ya kiakili na hao viongozi.

Vile vile tambua ya kwamba mwelevu hawezi ongozwa na mjinga,kama tumekubali basi sisi ni wajinga zaidi ya hao wanaotuongoza.
 
Uzuri Marekani kwenye hili yuko wazi sio unafiki


Hongera China wewe ni next super power
 
Sio kweli
 
Nikabidh i Uone Hali Itakuwaje kwani Mifano Si Ipo Kwa Viongozi Vilaza na Viongozi majembe Mimi Ntafata Ntaongoza Kwa Mifano Ya Viongozi Majembe Na Najua Sio Wote Watakao nipenda Ila Wengi Ntawagusa Maisha Yao na kufurahia uongozi Wangu (Lete Jingine
 
Market size ya marekani ni ndogo sana 300m population, 1 8bn pple china 2bn pple Africa 1bn pple, kwahiyo hilo ni dogo sanaa aliwezi ku affect uchumi wake.
Hahahaha Mzee gharama ya maisha ya tajiri mmoja ni sawa na gharama za maisha ya watu laki moja. Nilijifunza miaka ile American inapitia kwenye msukosuko wa uchumi kipind cha Bush kuja obama. Mchina ilibid akawape hela za kununulia mizigo bila riba kule marekan ili waendelee kununua mizigo kwake ili viwanda vyake viendelee kufanya kaz na kulinda ajira. Kule viwandan Fujian mmarekan mmoja order yake ni sawa na order ya bidhaa hiyo hiyo kwa Afrika nzima. Ogopa nguvu ya hela na Market Mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…