China kuendesha TAZARA kwa miaka 27, Uwekezaji wa dola bilioni 1.4 kuanza

Acha kusingizia wakoloni kwa ujinga wetu wenyewe mkoloni gani huyo atakuambia uhujumu reli kisha ununue Howo 40 uwe unatumia basi hata tumbo kufikiri kama kufikiri kwa kutumia ubongo kunakutia uvivu
 

Daaaaa tulipewa mpya imetufia mkononi....saaa baada miaka 27.....watatupa ikiwa nusu kuzeeka.....tena tunapiga 10yrs inakufa tenaaa
Naskia WACHINA(CCeCc) walipojaribu kuchunguza reli ya Tazara na kukuta Haina viwango na ni chakavu yamkini Bado inatumika waliliaa sanaa hadi macho yakazidi kutumbukia ndani.

Nadhani wapewe tu ili wafufue TAZARA.
View attachment 3277446
Sasa mbona mnawakataza Wachina kuuza Chapati Kariakoo? Halafu ikiwa kila kitu hamuwezi majukumu ya serikali yenu ni yapi?
Tuwe colonised upya tu, hakuna tunachoweza.
Nyie malofa hamna mnachoweza kuendesha wenyewe?
Waafrika tupoje? Tulikabidhiwa mpyaaa kwa mbwembwe nyingi, tumeshindwa kuiendesha. Leo tunamrudishia mjenzi aikarabati na kuiendesha mwenyewe. Hii siyo Reli ya Uhuru tena!

"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Kubinafsisha Reli ya TAZARA (Tanzania-Zambia Railway Authority) kunaweza kuleta faida na changamoto kwa Tanzania na Zambia. Hasara zinazoweza kujitokeza ni pamoja na:


1. Kupoteza Udhibiti wa Miundombinu Muhimu​


  • Serikali za Tanzania na Zambia zinaweza kupoteza ushawishi juu ya usimamizi wa reli, hasa ikiwa itaendeshwa na kampuni ya kigeni.
  • Uamuzi wa kibiashara wa mwekezaji unaweza kutozingatia maslahi ya kitaifa, kama vile kutoa huduma kwa maeneo yasiyo na faida kubwa.

2. Kupanda kwa Gharama za Usafirishaji​


  • Mwekezaji binafsi anaweza kuongeza nauli na gharama za mizigo ili kupata faida zaidi, jambo ambalo linaweza kuathiri wafanyabiashara, wakulima, na abiria wa kawaida.

3. Kupungua kwa Nafasi za Ajira​


  • Kampuni binafsi inaweza kupunguza wafanyakazi ili kupunguza gharama za uendeshaji, jambo ambalo linaweza kusababisha ukosefu wa ajira kwa wafanyakazi wa TAZARA waliopo.

4. Mafanikio Yasiyo na Uhakika​


  • Historia inaonyesha kuwa baadhi ya miradi ya ubinafsishaji barani Afrika haijafanikiwa kutokana na usimamizi mbovu wa wawekezaji binafsi, hivyo kuna hatari ya kushindwa kwa mradi.

5. Uwezekano wa Mikataba Isiyo na Faida kwa Nchi​


  • Ikiwa mkataba wa ubinafsishaji hautaandaliwa vizuri, kuna uwezekano wa Tanzania na Zambia kupata mapato madogo huku mwekezaji akijipatia faida kubwa.

Kwa upande mwingine, ubinafsishaji unaweza kusaidia kuboresha huduma, kuongeza uwekezaji kwenye miundombinu, na kufanya reli kuwa na ufanisi zaidi. Hata hivyo, ni muhimu nchi hizi ziwe makini katika maamuzi yao ili kuepuka hasara kubwa zinazoweza kujitokeza.
 
Don’t waste your time ,black skin is a curse .Angalia nchi zote za watu weusi.shida umasikini ujinga and etc
 
Nani alikwambia itakuwa imezeeka?​
Hii sasa ina miaka 50.....unaionaje??.....hatuna akili .....hatuna uwezo ...wajinga au shida nini ?? Umasikini wa fikra ?? Miaka 30 wakitupa itakuwa nusu kufa kama tutaendelea ujinga huuu miaka 200 mwendo huo.....
 
Naogopaaa nasisimuka.....naliaa mwenyewe.....kizazi kijacho ndio even worse than kizazi sisi......baada miaka 30 bandari zote airports rail....zote zitakuwa hoi.....watachukua wajanja wa enzi hizo ma chawa na watawala wata enjoy lakini sio.....mass population....nalia sanaa....na rasilimali......tunashindwa ku manage daaaa
 
Hasa UZINZI hapa ndipo penye chanzo cha gundu mikosi na umati ya kila maendeleo
 
Nawambia ukweli kama ni Uwekezaji bora wangekuja Wazungu tuingie nao JV au Partnership...mchina sio mtu ni watu wa hovyo sana bora tungeendesha sisi wenyewe ...Kwanini kila kitu tunajifanya hamnazo hatuwezi kuendesha?? Unampa mtu reli miaka 27 dola bil 1.4 yaani kila kitu tunauza kila kitu hivi hii nchi ni lini tutaweza kufanya sisi???? Mbona ujinga ni mwingi sana hii nchi??

Mama Samia please msiuze hii reli tafadhali 27 years ni miaka mingi bora mkope tuifufue tufanye JV...
 
Only in Afrika can this rubbish happen, sasa tutaminywa makende mpaka kamasi,zitutoke, nyie si mnataka kuwafukuza wa china machinga pale kariakoo, na wachina wauza mahindi ya kuchoma!? Sasa na wao, watawapiga chini baadhi ya wafanyakazi, wa tazara! Tit for tat, Vita ni Vita muraaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…