China kuipatia silaha Russia dhidi ya Ukraine

Kama unaikubali urusi sasa wanaomba silaha kutoka China na Iran kwisha habari yao, tuliambiwa ni superpower vita ata miaka 2 haijaisha wanakopa silaha
Sasa silaha zako utatumia zote kabla ya vita halafu vita ikianza utumie nini? 🀣 Urusi sio mjinga kama unavyofikiri. Anapoomba silaha maana yake hataki bank yake ya masilaha iende chini ya kiwango. Kuna level ambayo unatakiwa ku maintain mda wote kwa ajili ya kujiandaa na vita.
 
India anawapiga hela Europe kwa mafuta yale yale waliokataa kununua bei chee kwa Mrusi 🀣🀣🀣
 
Waambie hao, hili jambo lilifanywa kwa timming na ndio maana linakwenda vizuri tu. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Watu wanahisi Urusi alikurupuka tu.
 
Najiulizaga sana US wanajiamini nini kumnyooshea kidole kila mtu.
Waxenge tu wanategemea TAG team. Bila ushirika US ni mwepesi mno na hilo analijua. Ila kwa Russia ni moto wa tipa yani halitaisha kirahisi lazma atalamba lolo.
 
Hakuna nchi rafiki ambazo zitaweza kuziba pengo la soko la Ulaya Urusi alilokuwa nalo sasa anakopesha India labda na china kwa hasara zaidi, tutegemee anguko kubwa zaidi la urusi kiuchumi
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Anakopesha au anauza kwa discount, tofautisha hayo mawili.
 
Ni Sawa tu,
Bado KK nayo itaipa Urusi silaha,Iran tayari.
Hii maana yake Kila mtu na maswahiba wake.
N ndivyo hata NATO wakiingiza majeshi kamili nao wachina watatia timu uwanjani,bila kumsahau kiduku na marafiki wengine.
Ndio hapo Urusi yenu itachakazwa kama kumbusu msichana. Putin siku zinahesabika za kuokotwa kwenye shimo la maji taka
 
Kama china anamsaidia Urusi ndio mwisho wa china. Trust me
Jiongopee hivyo hivyo wakati kuna miradi kibao ya SINO inaendelea nchini. Electronics zilizojazana Kariakoo ni za kichina. Maguta mapikipiki, malori ya FAW, Howo, SHACMAN yamejazana mjini.. Viwanda vya mabati, Mashine kibao za kichina, Motor, Pump, diesel engine. Endeleeni kujidanganya hivyo hivyo.

Jiulize china amezifikia nchi ngapi Africa?
 
Kuna mahali watu walishabikia urusi kupotea nikawaambia
Urusi pia ana washirika naye atapata misaada pale anapohitaji vita bado ni ngumu
 
Nawewr unafurahia anguko la Putin dhidi ya mashetani wa NATO?
 
Let's say Russia ameshindwa the next is China! so china asipo mpa support anajua atafata.
China lazma hii vita atapigana bega kwa bega na Urusi. Come what may but hio ndio only option atake asitake hawatamuacha. Marekani ni mchawi mkuu wa genge la NATO. Hapendi mtu ainuke zaidi yake na analiona hilo kwa China. Mbeleni pia Kiduku lazma ataingia kuongeza nguvu maana anaichukia US kama harufu ya choo.

Kwa mtazamo tu nafikiri waliona wakimuanzishia China basi Urusi angeingilia moja kwa moja kama ilivyokuwa Afghanistan kule. Wakaona bora waanze na Urusi kwa kuanzisha zogo Ukraine kwa ahadi kuwa watamuingiza NATO huku wakimchimba beat china maana hana uzoefu na vita. Ngoma inaelekea kunoga sasa.
 
Sasa si wajitokeze wazi kumsaidia?!!kama nchi za ulaya zinavyofanya?!!wanaogopa nini?
Vita haijatangazwa rasmi. Ila Marekani na Europe hashindi safari hii maana sio wote ni war mongers. Wanaeza muachia marekani na mwingereza waicheze ngoma wenyewe.
 
Kwani anawauzia bila rubble sahizi? Wasiotaka Rubble wakanunue gesi China na India πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mrussi afanye Kama kakosea vile adondoshe baruti pale NYC kipigo atakacho pokea wale wa mpitimbi na songoro wata saga meno
 
Brics hawako kumpelekesha mtu, wanataka kila nchi ijiendeshe kivyake sio kuwe na kiranja wa kupangia wenzake kwamba sahizi hatumtaki yule tukampige. Flani ana hela sana sahizi hatuskilizi tukamuue raisi wake. Sahizi tupitishe sheria za mashoga kuoana asiyetaka tunamuwekea vikwazo. Sahizi hatutaki flani afanye biashara na flani akigoma tumpige vikwazo.

Hayo sio mambo ya BRICS. Wenyewe ni watu wa haki na usawa. Kama biashara kila mtu afanye kwa uhuru na yeyote anaeona ana maslahi kwake. Kila mtu na pesa yake sio kulazimishana kutumia dollar tu.
 
Vita haijatangazwa rasmi. Ila Marekani na Europe hashindi safari hii maana sio wote ni war mongers. Wanaeza muachia marekani na mwingereza waicheze ngoma wenyewe.
Huyu bwana putin zamu hii ameyakanyanga,NATO hawamuachi na hata hotuba ya jana ya BIDEN inaonyesha kuwa wako pamoja sana!!Putin amemuomba CHINA awe mpatanishi ili vita iishe ila hizo ni za ndaniiii
 
Huyu bwana putin zamu hii ameyakanyanga,NATO hawamuachi na hata hotuba ya jana ya BIDEN inaonyesha kuwa wako pamoja sana!!Putin amemuomba CHINA awe mpatanishi ili vita iishe ila hizo ni za ndaniiii
China huyu huyu anayetaka kutuma silaha
 
Zama za udikteta ziishe tena mkuu, putin hataki kuondoka madarakan ni kama M7 wa uganda au Kim wa North Korea
Kwani ishu ni kuondoka madarakani au ishu ni kuinfluence dunia? Mbona nyie CCM wako madarakani toka kuasisiwa kwa nchi na hamuwatoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…