China kuipatia silaha Russia dhidi ya Ukraine

Hatari sana
 
Hawa China toka vita imeanza walisema watampa msaada Urusi lakini ikashindwa walipoona vikwazo vyaja wakaona bora yaishe
 
Duh!..hii Vita inazidi kuchukua hatua mpya.
Kama nchi za Magharibi zimeamuwa kupigana vita ya mawakala na Urusi kupitia Ukraine basi washirika wa Urusi wana haki ya kumsaidia mshirika wao.
Urusi anaihitaji sana China wakati huu hasa kupata nafuu ya vikwazo na silaha ikibidi.

japo kwenye silaha huenda isiwe rahisi, China bado wanahitaji soko lao huko Ulaya na Marekani kuliko la huko Urusi.
 
Kama china anamsaidia Urusi ndio mwisho wa china. Trust me
 
Tuliza mzuka mkuu China alitaka kujaribu kabla akashindwa, kumbuka mshirika wa Urusi nchi 2 au 3 hivi wakati NATO ni zaidi ya mataifa 30 yenye nguvu duniani, China hawawezi ata kujamba, Taiwan tu imewatoa kamasi hadi sasa wanapita tu hukoo pembeni pembeni
 
japo kwenye silaha huenda isiwe rahisi, China bado wanahitaji soko lao huko Ulaya na Marekani kuliko la huko Urusi.
Hapana China masoko yote anaya taka Russia na West.

Kwa sababu west ana nufaika na bidhaa zake za viwandani na uuzaji wa mafuta na gas huku Russia aki nufahika na bei ya discount ya mafuta na gas.
 
Una ufahamu mgogoro wa PRC na ROC kiundani ?
 
Hapana China masoko yote anaya taka Russia na West.

Kwa sababu west ana nufaika na bidhaa zake za viwandani na uuzaji wa mafuta na gas huku Russia aki nufahika na bei ya discount ya mafuta na gas.
Hapana China masoko yote anaya taka Russia na West.

Kwa sababu west ana nufaika na bidhaa zake za viwandani na uuzaji wa mafuta na gas huku Russia aki nufahika na bei ya discount ya mafuta na gas.
Hayo mafuta na gas hayapo Urusi pekee, hata Africa na Uarabuni yapo ya kutosha.

Ila soko kubwa kwake ni ulaya na Marekani
 
Hayo mafuta na gas hayapo Urusi pekee, hata Africa na Uarabuni yapo ya kutosha.

Ila soko kubwa kwake ni ulaya na Marekani
Mafuta na gesi kwa sasa Russia anauza kwa nchi rafiki kwa punguzo kubwa la bei hivyo China ambae ni nchi rafiki kwa Russia hawezi kuacha kununua, uki zingatia ukaribu zaidi kati ya China na Russia tofauti na Africa na Middle East.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…