Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Hiyo mila ya kuua walemavu ni sawa kwa mizani ya critical thinking?Ndio ,kiafrica hatuhitaji walemavu kwenye jamii zetu sio mila Wala desturi zetu.
Ulemavu ambao ulikuwa tolerated kwetu ni wa baada ya kuwa mtu mzima na sio kabla.
Hili ni suala la Mila sio maendeleo
Kushinda vita ni mbinu na uzoefu sio lazima teknolojia.Standard ya maendeleo sio Ulaya, ila kama tulikuwa tumeendelea ilitakiwa tuwe na teknolojia ambayo ingetuwezesha kuwashinda pale walipotaka kututawala kwa nguvu. Unasemaje umeendelea ilihali mtu anatoka huko anakuja kukufunga minyororo anakuweka kwenye meli ukawe mtumwa nchini mwake? Ilitakiwa tuwe na uwezo wa kupambana nao hadi tuwashinde.
Inategemea utamaduni,Kwa Kila za Africa ni sahihi ni kama kuoa wanawake wengi wewe unaona ni sawa au sio sawa?Hiyo mila ya kuua walemavu ni sawa kwa mizani ya critical thinking?
Maendeleo sio dini peke yake, ni mambo mengi, wanaosema dini ina athari katika maendeleo hawasemi ni dini peke yake, ni kama vile rushwa ilivyo na athari katika maendeleo lakini kuna mataifa yenye rushwa kubwa yaliyoendela mfano Russia. Zipo sababu kwa nini dini hazijawa na athari hasi kwenye baadhi ya mataifa na zimekuwa na athari hasi kwenye baadhi ya mataifa.Vipi kwa nchi zilizopata maendeleo hivi karibuni eg Singapore, Malaysia, UAE au waafrika wenzetu kama Botswana na Algeria? Kwanini na sisi tusiendelee kama wao?
Hili sio swali sahihi, maendeleo ni hatua na hizo hatua zinaweza kutatizwa, kucheleweshwa au kuharikishwa kwa sababu mbalimbali.Kabla hatujaletewa hizo dini mbona tulikuwa hatuna maendeleo kuwazidi wao mkuu?
Hahaha, Unawagombanisha halafu unazipiga ban kwa muda usiojulikana mpaka hali itakapokuwa shwari?Mkuu unaweza kufanya social engineering kubwa sana ukiwa na absolute power, angalia MBS anavyowaburuza Wahafidhina Saudi Arabia, anaruhusu kila kitu (sijui ndio wanasema kufungua nchi). Hapa Tanzania kwa mamlaka aliyo nayo rais na uwepo dini mbili tofauti (unazoeweza kuzifanya zisigane) hili wala sio jambo gumu sana na ukizingatia raia pia hata hawamuweki mtawala madarakani.
Ni rahisi sana mkuu kucheza na dini Tanzania kwa sababu mazingira tayari yanaruhusu, angalia suala la ubishi wa haki na amani tu lilivyowatawanya mpaka wengine wanataka kuwakata vichwa wengine😁Hahaha, Unawagombanisha halafu unazipiga ban kwa muda usiojulikana mpaka hali itakapokuwa shwari?
Ukianza hii campaign watasema hatimae 666 imefika. Yaani mkuu, haya mambo ya dini kupanda mbegu yafutike labda ukiipanda sasa uimwagilie vizazi viwili vitatu ndo angalau labda utaona matokeo.Ni kuwapa Elimu ya ufahamu kwamba huko wanakodhani dini zilianzia hasa Kwa Wazungu walishaacha kwenda hata makanisani
Hata hauzipigi ban bali unazipunguzia nguvu zake na ushwawishi katika jamii kama ilivyo China.Hahaha, Unawagombanisha halafu unazipiga ban kwa muda usiojulikana mpaka hali itakapokuwa shwari?
Yes, ila sio jambo linalowezekana kwa haraka. Halafu, Africa adhabu za kiimani zinazingatiwa kuliko sheria. Ukiondoa imani tegemea wizi wa kutisha serikalini.Ni rahisi sana mkuu kucheza na dini Tanzania kwa sababu mazingira tayari yanaruhusu, angalia suala la ubishi wa haki na amani tu lilivyowatawanya mpaka wengine wanataka kuwakata vichwa wengine😁
Mkuu watu wanaiba na kufanya ufisadi wanaenda kutoa sadaka na michango makanisani na misikitini.Yes, ila sio jambo linalowezekana kwa haraka. Halafu, Africa adhabu za kiimani zinazingatiwa kuliko sheria. Ukiondoa imani tegemea wizi wa kutisha serikalini.
Mkuu unakumbuka Samia alivyoingia akaacha kusalimia salamu za kidini za Asalamaleko, Bwana Yesu Asifiwe na Tumsifu Yesu Kristo watu wakapiga kelele miezi kadhaa ila sasa hivi wote walishazisahau wanasiliamia Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania-Kazi iendelee ?Ukianza hii campaign watasema hatimae 666 imefika. Yaani mkuu, haya mambo ya dini kupanda mbegu yafutike labda ukiipanda sasa uimwagilie vizazi viwili vitatu ndo angalau labda utaona matokeo. Hata huko Ulaya hazikufutika tu, ilikuwa taratibu mno na si kwamba zimefutika kabisa, watu wanasali bado na wataendelea kusali. Pengine miaka 100-200 mbele usishangae zile nchi ambazo hazikuwa za kiimani zikawa zimejaa watu wenye imani.
Dah.Mkuu unakumbuka Samia alivyoingia akaacha kusalimia salamu za kidini za Asalamaleko, Bwana Yesu Asifiwe na Tumsifu Yesu Kristo watu wakapiga kelele miezi kadhaa ila sasa hivi wote walishazishau wanasiliamia Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania-Kazi iendelee ?
Mila za kishenzi ndio zinakuaje? Hizo roho za wanyama ni kama zipi?Kwanza mila za kiafrika ni za kishenzi kuliko hata mfute dini haitawasaidia chochote kama tutaendelea roho za wanyama wa porini
Vijana wa Sasa sio sawa na WA zamani Hawa wa Sasa wanaelewa ujanja ujanja wa dini ndio maana wengi hawasali Wala kuswali.Ukianza hii campaign watasema hatimae 666 imefika. Yaani mkuu, haya mambo ya dini kupanda mbegu yafutike labda ukiipanda sasa uimwagilie vizazi viwili vitatu ndo angalau labda utaona matokeo.
Hata huko Ulaya hazikufutika tu, ilikuwa taratibu mno na si kwamba zimefutika kabisa, watu wanasali bado na wataendelea kusali.
Pengine miaka 100-200 mbele usishangae zile nchi ambazo hazikuwa za kiimani zikawa zimejaa watu wenye imani.
Dini Kwa Africa Ina mchango mkubwa sana wa Kuharibu fikra.Maendeleo sio dini peke yake, ni mambo mengi, wanaosema dini ina athari katika maendeleo hawasemi ni dini peke yake, ni kama vile rushwa ilivyo na athari katika maendeleo lakini kuna mataifa yenye rushwa kubwa yaliyoendela mfano Russia. Zipo sababu kwa nini dini hazijawa na athari hasi kwenye baadhi ya mataifa na zimekuwa na athari hasi kwenye baadhi ya mataifa.
Hadi utakapoweka mifumo sahihi ya mtu mzima kuamua.Mfani huko Rwanda wanavyoweka Masharti na sisi Inawezekana.Hahaha, Unawagombanisha halafu unazipiga ban kwa muda usiojulikana mpaka hali itakapokuwa shwari?
Mwenye dini anataifisha Mali ya mtu na kuuwa watu wasio hatia? Kuwafunga jela bila kuwafikisha mahakamani? Hao wote walikuwa hawana dini ila wakijipakazia kuwa wana dini , wasingaliwachukuwa wasio dini makomunisti kwenye serikaliNyerere na Karume walikuwa wanadini haswa, hawakuwa Wajamaa au Wakomunisti halisi.