China(PRC) na Taiwan(ROC) bado wapo kwenye civil war

Wachina hawajawahi kumshinda mjapan chief wamshukuru Mmarekan na nyuklia yake mpaka leo wangekuwa wamekaliwa.
Walipigana Vita mkuu na Japan wakati wa Vita vya pili vya dunia miaka 1945 na Japan alikuwa amechoka Sana kutokana na ushiriki wake wa Vita vya pili vya dunia na hiyo ndiyo ilikuwa nafasi yao People's liberation army na China nationalist army kwa pamoja kumtwanga mjapan.
 
Huu ni ujinga anaofanya China, utake unification ya nini wakati ulishampiga na yeye akaamua kukimbilia mbali na wewe? Mtu ameenda mbali kwa ajili ya kujisalimisha, sasa unamfatilia wa nini, si umuache na maisha yake? Kwa kweli kwa hili Taiwan yupo sahihi kabisa.
Mkuu China inahistoria ya miaka 5000 hapa duniani ile ni ardhi yao kwa hiyo lazima wahakikishe wanaitunza na wanailinda ndio maana Tibet ilirudi, Macau ilirudi, Hongkong ilirudi bado tu Taiwan irudi kwenye himaya ya mababu zao pale ambapo ipo forbidden City Beijing mamlaka ya China yote yanatokea Beijing ilipo Forbidden city makao makuu ya Han Dynasty.
 
Mja

Na wewe umeingizwa kwenye propaganda za peacefully Unification! Haya mabomu na mameli ya Kavita yayoizunguka Taiwan leo ndio kutaka "Peacefully Unification " Please Ndugu ya Mjamaa wa kisasa kubali China ana elements zote za Imperialistic nation, na hapo bado hajawa sole super power
Ndugu Pendekezo la kwanza la china ni peacefully Unification Kama ambavyo imetokea kwa Hongkong na Macau Ila pale ambapo kutaonekana Kuna njama yoyote ya kuzuia peacefully Unification na kuanza kuipa nguvu Taiwan ya kujitangazia Uhuru wake Basi China haita sita kutumia forcefully Unification through war hii haya ninayosema yalisemwa na China yenyewe [ PRC ] tokea wakati wa Mao Zedong mpaka Sasa wakati wa Xi Jinping kauli yao haijawahi kubadilika.
 
Jambo la msingi hapa tunapaswa kushauriana ni kuwa maamuzi ya UN yangepaswa kuwa ni :-
i, Kuvunja serikali ya Hongkong
ii, Kuvunja serikali ya Macau
iii, Kuvunja serikali ya Taiwan
Na wote hawa kwa pamoja wangeungana na China PRC kuzaa China moja isiyokuwa na serikali nyingi kitu ambacho hata serikali ya Beijing imekuwa ikipendekeza na kupigia kelele jambo hili .
Ndugu yangu,path ya Macau na Hongkong ni tofauti na Taiwan.Nadhani umeelewa my line of argument, naangalia fairness, nilipoisoma historia, sikukubaliana na Taiwan kuwa na seat UN, it was not fair kwa Mainland China, kama ambavyo kuna nchi kubwa ulimwenguni kama Taiwan haina mwakilishi UN! Logic iliyoipa kiti Palestine UN ingetumika kwa Taiwan pia.
Anyway utalirekebishaje hilo kosa la kihistoria leo, kwa taarifa yako China ime abandon sera ya "Peacefully Unification " nadhani May 2020, Waziri Mkuu wa China Li Keqiang kwa makusudi kabisa aliacha kutumia hiyo slogan, msimamo mpya uko wazi, watachukua Taiwan kwa nguvu! Na toka wabalehe, na kuota sharubu za kuwa na Aircrafts carries, J-20 military Jets, na supersonic weapons kaacha kabisa hizo sera za zamani! Mjamaa wa kisasa,China ya zamani sio ile, harufu ya kuwa beberu iko wazi!
 
Mkuu haya yote ya forcefully Unification yanakuja kutokana na juhudi za peacefully Unification kuonekana zinagonga mwamba kwa hiyo njia ya pili amabayo imebaki ni forcefully Unification ndio ambayo imebaki.
 
Mkuu China inahistoria ya miaka 5000 hapa duniani ile ni ardhi yao kwa hiyo lazima wahakikishe wanaitunza na wanailinda ndio maana Tibet ilirudi, Macau ilirudi, Hongkong ilirudi bado tu Taiwan irudi kwenye himaya ya mababu zao pale ambapo ipo forbidden City Beijing mamlaka ya China yote yanatokea Beijing ilipo Forbidden city makao makuu ya Han Dynasty.
Mjaama wa Kisasa, naogopa logic yako ya kihistoria kutatua migogoro kama hii, Mimi kwa sehemu kubwa ni "realistic " Hebu tuitumie approach hiyo Africa! Mombasa na Lamu ni sehemu ya Tanzania! Na Mlima Kilimanjaro uko Kenya, lile ziwa kusini Malawi kila mtu anasema liko upande wake! Approach ya China ikiwa adopted ulimwenguni ni confusion, unaangalia makosa yaliyofanyika,yanayoweza kurekebisha unarekebisha,usiyoweza unakubali na kuendelea mbele.
China inaingia kwenye kundi la Super Power, itapoteza nini Taiwan ikiwa sovereign state!
China imeshakuwa taifa kubwa, lazima ifikiri ku move forward, naona ina stuck na history! Kama anaitaka pasipo gharama asubiri Marekani na Western World wafe kabisa, kila mwenye kufikiri anajua it will take some years US to die completely technically mtetezi wa Taiwan.
Angalau majuzi katafakari vizuri na kuepuka head on collision na US!
 
Haaaah...option iliyobaki ni military intervention, huwa naiita a primitive way of solving a problem! Kama ataanza safari yake ya kuwa Super Power Nation, basi ataianza vibaya...Nilitegemea atajifunza kwa baadhi ya makosa aliyo fanya USA, nguvu na musuli Mara nyingi hauleti matokeo mazuri! China ana desa kubwa la kujifunzia....Taking Taiwan by forcefully it will be tragic mistake ! Internationally community haitakua upande wake, na hii age ya nuklia unakuwa mwangalifu sana kuanzisha vita,anaweza kurudi nyuma asipopategemea!
 
Kitali: Kama Mmarekani asingemtwanga na Atomic mjapani au Mjapani asingeanzisha Vita na Mmarekani, labda China ingepata uhuru wake miaka ya 60! Japan was more advanced nation miaka ya 1930 na China ilikuwa primitive kwa maana ya primitive licha ya historia yao ndefu.
Huwezi kuamini Japan iliitawala China na kuinyanyasa vibaya, Kuingia kwa Mmarekani kuliikata nguvu ya Japan ndio kina Mao wakapata nguvu.Damu nyingi mno ilimwagika China kujitoa mikononi mwa Japan...

Uko sahihi kabisa.
 
Mjaama wa Kisasa, naogopa logic yako ya kihistoria kutatua migogoro kama hii, Mimi kwa sehemu kubwa ni "realistic " Hebu tuitumie approach hiyo Africa! Mombasa na Lamu ni sehemu ya Tanzania! Na Mlima Kilimanjaro uko Kenya, lile ziwa kusini Malawi kila mtu anasema liko upande wake! Approach ya China ikiwa adopted ulimwenguni ni confusion, unaangalia makosa yaliyofanyika,yanayoweza kurekebisha unarekebisha,usiyoweza unakubali na kuendelea mbele.
China inaingia kwenye kundi la Super Power, itapoteza nini Taiwan ikiwa sovereign state!
China imeshakuwa taifa kubwa, lazima ifikiri ku move forward, naona ina stuck na history! Kama anaitaka pasipo gharama asubiri Marekani na Western World wafe kabisa, kila mwenye kufikiri anajua it will take some years US to die completely technically mtetezi wa Taiwan.
Angalau majuzi katafakari vizuri na kuepuka head on collision na US!
Mkuu ile ardhi ya mababu zao ileyopo kwenye ramani zao kabisa since ancient time china Ni taifa kongwe hapa Duniani sio rahisi wao kuruhusu ardhi ya mababu zao iondoke bila sababu za msingi . Kama unazungumzia sovereignty states hata Macau ilikuwa chini ya ureno na ureno alikuwa na uwezo wa kuipatia Uhuru Macau na kuwa nchi Ila china ilipigania macau mpaka ikarudi nyumbani hivyo hivyo kwa Hong Kong Napo ilikuwa kabisa inaweza kuwa nchi huru Ila china ilipinga Hilo mpaka ikarudi nyumbani kwa sababu ile Ni ardhi ya mabibi na mababu zao inayotambulika kabisa katika ramani zao hata za kale hivyo hivyo kwa Tibet nayo Taiwan ile Ni ardhi yao China inq kila sababu kutetea ardhi ya mababu zao isipotee iwe kwa amani au hata kwa Vita lazima watete ardhi yao . Hata ingekuwa sisi Tanzania tungefanya hivyo hivyo anavyofanya China [ PRC ] kuruhusu Taiwan kuwa huru na kuondoka na kupotea mikononi mwa Beijing ni kuwakosea heshima wafalme wote wa China waliofariki. Ile ni ardhi yao na wao pekee wachina ndio wenye mamlaka juu ya Taiwan na wala sio mtu mwingine.
 
Haaaah...option iliyobaki ni military intervention, huwa naiita a primitive way of solving a problem! Kama ataanza safari yake ya kuwa Super Power Nation, basi ataianza vibaya...Nilitegemea atajifunza kwa baadhi ya makosa aliyo fanya USA, nguvu na musuli Mara nyingi hauleti matokeo mazuri! China ana desa kubwa la kujifunzia....Taking Taiwan by forcefully it will be tragic mistake ! Internationally community haitakua upande wake, na hii age ya nuklia unakuwa mwangalifu sana kuanzisha vita,anaweza kurudi nyuma asipopategemea!
Kama unadhani kupigana Vita Ni Jambo la ajabu basi utakuwa unakosea Sana kwa sababu hata wakoloni waliondolewa kwa Vita .pale ambapo unapodai haki yako na unao haupati basi ni vizuri kuidia hio haki yako kwa nguvu iliuipate.
 
Ni matokeo ya wachina(wa-Han) kujitanua kwa miaka mingi. Kwa tafsiri za kisasa, ni sehemu za China.
Na hili ndilo tatizo kubwa la China kushindwa kutambua haki za jamii (makabila) nyingine/mengine. Si ajabu wanaupiga Sana vita Uislamu na imani nyingine.
 
China wanachotaka ni peacefully Unification na Taiwan kwa kuwa wao PRC ndio walioshinda Vita hivyo ardhi yote ya China wao ndio wenye mamlaka nayo . China hawataki kuwaua wala kuwafukuza ndugu zake kule kisiwani Ila China wanataka Kisiwa chao cha Taiwan kurudi katika himaya yao China Beijing huku wakiendelea kuwaacha Taiwan katika mfumo wao wa kiutawala Kama ilivyo Macau na Hongkong.
Hiki ulichoandika hapa sio kinachotokea Hong Kong hivi Sasa.
 
Jambo la msingi hapa tunapaswa kushauriana ni kuwa maamuzi ya UN yangepaswa kuwa ni :-
i, Kuvunja serikali ya Hongkong
ii, Kuvunja serikali ya Macau
iii, Kuvunja serikali ya Taiwan
Na wote hawa kwa pamoja wangeungana na China PRC kuzaa China moja isiyokuwa na serikali nyingi kitu ambacho hata serikali ya Beijing imekuwa ikipendekeza na kupigia kelele jambo hili .
Shida ya Hawa mainland China Ni ule ukoloni wa chama kikuu Cha China na umungu mtu wake wa kulazimisha kila kitu. Kwanza hawaamini kwenye Uhuru wa kuabudu na tamaduni tofauti kwa raia wake.
 
Mkuu haya yote ya forcefully Unification yanakuja kutokana na juhudi za peacefully Unification kuonekana zinagonga mwamba kwa hiyo njia ya pili amabayo imebaki ni forcefully Unification ndio ambayo imebaki.
Sasa kwanini asiianzishe?
 
Kama unadhani kupigana Vita Ni Jambo la ajabu basi utakuwa unakosea Sana kwa sababu hata wakoloni waliondolewa kwa Vita .pale ambapo unapodai haki yako na unao haupati basi ni vizuri kuidia hio haki yako kwa nguvu iliuipate.
Sasa hapo Taiwan na China nani ana haki..
 
Mkuu China inahistoria ya miaka 5000 hapa duniani ile ni ardhi yao kwa hiyo lazima wahakikishe wanaitunza na wanailinda ndio maana Tibet ilirudi, Macau ilirudi, Hongkong ilirudi bado tu Taiwan irudi kwenye himaya ya mababu zao pale ambapo ipo forbidden City Beijing mamlaka ya China yote yanatokea Beijing ilipo Forbidden city makao makuu ya Han Dynasty.
Hiyo miaka 5000 iliyopita kulikuwa na mipaka iliyotambuliwa kimataifa!? Kama kulikuwa hakuna, huo uhakika wa kuwa ardhi yao unatoka wapi!?
 
Haaaah...option iliyobaki ni military intervention, huwa naiita a primitive way of solving a problem! Kama ataanza safari yake ya kuwa Super Power Nation, basi ataianza vibaya...Nilitegemea atajifunza kwa baadhi ya makosa aliyo fanya USA, nguvu na musuli Mara nyingi hauleti matokeo mazuri! China ana desa kubwa la kujifunzia....Taking Taiwan by forcefully it will be tragic mistake ! Internationally community haitakua upande wake, na hii age ya nuklia unakuwa mwangalifu sana kuanzisha vita,anaweza kurudi nyuma asipopategemea!
Bila Shaka international community hapa unamaanisha US+Western countries+washirika wengine wa US
 
Mjaama wa Kisasa, naogopa logic yako ya kihistoria kutatua migogoro kama hii, Mimi kwa sehemu kubwa ni "realistic " Hebu tuitumie approach hiyo Africa! Mombasa na Lamu ni sehemu ya Tanzania! Na Mlima Kilimanjaro uko Kenya, lile ziwa kusini Malawi kila mtu anasema liko upande wake! Approach ya China ikiwa adopted ulimwenguni ni confusion, unaangalia makosa yaliyofanyika,yanayoweza kurekebisha unarekebisha,usiyoweza unakubali na kuendelea mbele.
China inaingia kwenye kundi la Super Power, itapoteza nini Taiwan ikiwa sovereign state!
China imeshakuwa taifa kubwa, lazima ifikiri ku move forward, naona ina stuck na history! Kama anaitaka pasipo gharama asubiri Marekani na Western World wafe kabisa, kila mwenye kufikiri anajua it will take some years US to die completely technically mtetezi wa Taiwan.
Angalau majuzi katafakari vizuri na kuepuka head on collision na US!
Sio katafakar tu, aliogopa kupata anguko kuu
 
Back
Top Bottom