Ndugu yangu,path ya Macau na Hongkong ni tofauti na Taiwan.Nadhani umeelewa my line of argument, naangalia fairness, nilipoisoma historia, sikukubaliana na Taiwan kuwa na seat UN, it was not fair kwa Mainland China, kama ambavyo kuna nchi kubwa ulimwenguni kama Taiwan haina mwakilishi UN! Logic iliyoipa kiti Palestine UN ingetumika kwa Taiwan pia.
Anyway utalirekebishaje hilo kosa la kihistoria leo, kwa taarifa yako China ime abandon sera ya "Peacefully Unification " nadhani May 2020, Waziri Mkuu wa China Li Keqiang kwa makusudi kabisa aliacha kutumia hiyo slogan, msimamo mpya uko wazi, watachukua Taiwan kwa nguvu! Na toka wabalehe, na kuota sharubu za kuwa na Aircrafts carries, J-20 military Jets, na supersonic weapons kaacha kabisa hizo sera za zamani! Mjamaa wa kisasa,China ya zamani sio ile, harufu ya kuwa beberu iko wazi!