Mjamaa wa Kisasa: Umeniacha hoi! Hivi Taiwan ni foreigners, Taiwan inapotea inaenda kwa nani? Hizo Ancient History katika ulimwengu wa leo zina msaada gani? Marekani kwa kifupi ni kama haina history! Ni taifa la jana tu, Uhuru ilijitangazia 1776, lakini ikawa Super Power, kama ulijifunza historia, Marekani ilikuwa inaitwa nchi mpya! Sasa China hiyo historia ya mababu itawafikisha wapi! Na kama unaijua historia ya China, kipindi cha Culture Revolution walikua kama wanaifuta Ancient History yao, Kwa kifupi waje na sababu nyingine wakita kuvamia Taiwan. Umenifurahisha sana uliposema "Kuwakosesha heshima na mababu wote waliofariki" Kumbuka hao mababu na wafalme ndio waliofanya nchi kubwa kama China kunyanyasika na ka nchi kadogo kama Japan!