Kwa hiyo ushenzi anaoufanya America Kwako ni kipimo Cha nani mbabeπ€Case closed !!
Hakuna cha ooh Urusi nye nye nye wala China fyoko fyoko, liko wazi sasa mbabe wa dunia hii ni U.S.A waswahili walisema ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo ukivuma. Sasa upepo umevuma na tumejionea, China angekua na ubavu mbele ya Marekani huu ulikua wakati mubashara kumwaga nyongo zake ila Mchina kaufyata kama mmbwa koko.
Case closed U.S.A is the bull in the graze yard.
Vita inaanzishwaje ndgu yangu??Vita hainzishwi kizembe hivyo.
#MaendeleoHayanaChama
Wavaa suruali za watoto wataficha wapi sura zaoπ€£π€£π€£Case closed !!
Hakuna cha ooh Urusi nye nye nye wala China fyoko fyoko, liko wazi sasa mbabe wa dunia hii ni U.S.A waswahili walisema ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo ukivuma. Sasa upepo umevuma na tumejionea, China angekua na ubavu mbele ya Marekani huu ulikua wakati mubashara kumwaga nyongo zake ila Mchina kaufyata kama mmbwa koko.
Case closed U.S.A is the bull in the graze yard.
Ungekuwa unafanya kazi una majukumu muda wa thread ya kipuuzi usingekuwa nayo..hata kama una demu akiona hii thread anakuacha anakuja kwangu namla mpaka kunakucha..ndo mana hutumii jina og ili hata familia yako isione upuuzi wa mtoto waoUsiingilie mazungumzo ya wanaume, hebu niletee chai na kashata mke wangu
Wazee wa mbango hamkosagi visingizioHiki kibibi kimeshajizeekea hakina cha kupoteza alafu kinataka kuanzisha vurugu.
Thanks to China for the wise decision.
Yuko zake mbagala anauza madafu kiroho safi, ni mshadadia ugonvi tu uyo falaUnapata faida gani mmoja wao akiwa supper power?
Aisee siasa ipo uko majuu mkuu. Naona full high security sio mchezoHuyuu nancy kanishangaza leo.
Kweli marekani ni super power.
Mnahamisha sana magoli.Ulitakaje labda bwana mdogo kwamba China atungue ndege ya kibibi kizee halafu aingie kwenye mgogoro na superpower wa kuweka vikwazo Duniani
Huu ndo ukweli mchungu ambao wavaa kobaaz hawaukubali. Putin anateswa na Ukraine mwezi wa 6 huu ingekua US angeiweza?Hiyo argument haijawahi kuwepo. US anatawala na hajapata mpinzani tangu ashike hatamu.
Umeandika "Case Closed".Case closed !!
Hakuna cha ooh Urusi nye nye nye wala China fyoko fyoko, liko wazi sasa mbabe wa dunia hii ni U.S.A waswahili walisema ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo ukivuma. Sasa upepo umevuma na tumejionea, China angekua na ubavu mbele ya Marekani huu ulikua wakati mubashara kumwaga nyongo zake ila Mchina kaufyata kama mmbwa koko.
Case closed U.S.A is the bull in the graze yard.
Hadi Trump alisanda kwa hicho kibibiNimeshangaaa Nancy katua salama aisee kibibi ni nohmaa kizungu Cha kinazi mameki
Wewe ulitaka Uchina wafanyeje labda? Aipige ndege iliyombeba speaker Pelosi? Embu tuambie wewe ulikuwa ukitarajia kitu gani labda kutoka kwa china.Case closed !!