Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kwa hiyo ushenzi anaoufanya America Kwako ni kipimo Cha nani mbabe🤔Case closed !!
Hakuna cha ooh Urusi nye nye nye wala China fyoko fyoko, liko wazi sasa mbabe wa dunia hii ni U.S.A waswahili walisema ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo ukivuma. Sasa upepo umevuma na tumejionea, China angekua na ubavu mbele ya Marekani huu ulikua wakati mubashara kumwaga nyongo zake ila Mchina kaufyata kama mmbwa koko.
Case closed U.S.A is the bull in the graze yard.